Nipe mtaji wa grocery teh teh

Nipe mtaji wa grocery teh teh

We ulitaka bwerere sio?Ndio ukomeee
 
Nyie ni vigeugeu maana mlishaona mmefungua duka kwenye miili yenu ,wengi wenu mkiwa na waswas na bidhaa dhenu ndio maana mnatanguliza mkwanja ...mie tayar nimeshawashitukia.....HAKATWI MTU HAPA.

na nyie tushawajua mapenzi hamna na ubahili juu

ndio maana tumekuwa vigeu geu hapendwi mtu imapendwa pesa
 
na nyie tushawajua mapenzi hamna na ubahili juu

ndio maana tumekuwa vigeu geu hapendwi mtu imapendwa pesa

Umetishaaa sana.....lakin nakupa m.1 kwa VVU 1 tuone kama hiyo grosar utaifungua....kama nduguzo watakuvumilia ..punguzen tamaa ...cheki huyo tamaa ilivyomponza....
 
Attachments

  • 1391954060714.jpg
    1391954060714.jpg
    22.5 KB · Views: 64
  • 1391954208387.jpg
    1391954208387.jpg
    27.5 KB · Views: 56
Majanga#
Nilikuwa mkoani nikaenda bar kujipatia menu ya usiku kufika nikakaribishwa ma mtoto mrembo sana dah raha tupu akanihudumia mpaka mwisho tulipotoka akanipa namba.
Kesho yake asubuhi nikamcheck ili tuje tuvunje amri si unajua asubuhi ndo huwa wanapumzika, mtoto akaniambia akinipa papuchi nitampa nini nikamwambia aseme duh eti mtaji wa grocery wa m1 teh teh kweli wanawake wengi siku hizi wanategemea ngono kuishi!

alikusamehe angekuomba gari ndio maana mimi nawaogopa unaombwa kitu hadi aliyeachwa nani hana naogopa kupewa majukumu yasiyo ya lazima
 
Dadeki. Wanaume wakware mtakoma.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Majanga#
Nilikuwa mkoani nikaenda bar kujipatia menu ya usiku kufika nikakaribishwa ma mtoto mrembo sana dah raha tupu akanihudumia mpaka mwisho tulipotoka akanipa namba.
Kesho yake asubuhi nikamcheck ili tuje tuvunje amri si unajua asubuhi ndo huwa wanapumzika, mtoto akaniambia akinipa papuchi nitampa nini nikamwambia aseme duh eti mtaji wa grocery wa m1 teh teh kweli wanawake wengi siku hizi wanategemea ngono kuishi!

Njo uswahlin kwet mwananyamala buku tu la miguu ya kuku unapewa mzigo kiroho sayona mpaka uchoke wew
 
Hakuna papucci ya bure, big up huyo dada kakukata maini vzr huna hamu nae!!!!!!!!!!!"!" hiyo hela umeona nyng coz umezoea kupata papucci ambazo haziko recognized na iso.
 
That was toooo fast...Wewe umeona game ndo unachokitaka after just a meal, na yeye kaona atakupa kwa m moja, issue iko wapi?! Unataka kusema eti there was love hapo? Hapo ni sex in exchange for money... mimi if I was in that situation and decided to do it (God forbid) I would say hun you pay upfront usije kimbia buree baada ya kamchezo... ningeenda ku deposit kabisaaaa ndo nirudi lol!
 
Hakuna papucci ya bure, big up huyo dada kakukata maini vzr huna hamu nae!!!!!!!!!!!"!" hiyo hela umeona nyng coz umezoea kupata papucci ambazo haziko recognized na iso.

@tinna kama unasoma UDSM au umeolewa unafanya kazi na mshahara ni under 18 ukiona pesa papuchi inalowa eeeh!!umekaa kiafta money sana ila poa digtal.
 
Njo uswahlin kwet mwananyamala buku tu la miguu ya kuku unapewa mzigo kiroho sayona mpaka uchoke wew

Daaahhh nimeipenda hiyo buku tu au quality
Zero
 
Awa wadudu wAko kipesa zaid m1 per one k loading.... ......
 
Back
Top Bottom