Nipate mwenza mwalimu au nurse sasa Tabora

Nipate mwenza mwalimu au nurse sasa Tabora

MTZ90

Member
Joined
Jul 22, 2025
Posts
29
Reaction score
36
Kituo changu cha kazi ni tabora ila nasafiri sana, kwa uelewa wangu mdogo kada hizo ndio watunzaji wazuri wa watoto, kazi yangu inaweza sababisha nipotee nyumbani hata mwezi mpaka miezi miwili

Najua kuna commentators watakuja na lugha kwamba nitagongewa sana ila kwakuwa haiwezi kuhama pale chini na watoto wangu watakuwa salama basi liwalo na liwe
 
Kituo changu cha kazi ni tabora ila nasafiri sana, kwa uelewa wangu mdogo kada hizo ndio watunzaji wazuri wa watoto, kazi yangu inaweza sababisha nipotee nyumbani hata mwezi mpaka miezi miwili, najua kuna commentators watakuja na lugha kwamba nitagongewa sana ila kwakuwa haiwezi kuhama pale chini na watoto wangu watakuwa salama basi liwalo na liwe
Sawa mdau
 
Love is very compex,nilikua na mwalimu na hela yake nilikua sioni, yule mama alibadilika sana.Kiufupi Maisha hayana formula,Muombe Mungu upate mtu anayekupenda na kukuheshimu.Masuala ya sjui anafanya kazi iwe suplimentary
 
Kweli mkuu UNATAKA tafutiwa mke....hahahaha..unakuja ungese ni waaajabu saaana.... wewe kibabu nani akutafutie mke...bwanaeeeee toka hapa
 
Love is very compex,nilikua na mwalimu na hela yake nilikua sioni, yule mama alibadilika sana.Kiufupi Maisha hayana formula,Muombe Mungu upate mtu anayekupenda na kukuheshimu.Masuala ya sjui anafanya kazi iwe suplimentary

Huyu mkuu...amechanganyikiwa ...amepoteza nguvu za kiume saiv anatafuta mke wa kada ya unesi...hawaoni huko mahospitalini...si akatongoze TU...au Hilo nalo hawezi...Hii kichwa yake imejaa poop...akwende zake bwaaana
 
Subiri ukaribishwe mjini kwa shangwe na nderemo !

Kifupi wewe ni kajamaa huna ajira unatafuta mtu mwenye kazi akutunze ! Tafuta pesa aisee

Hana kazi...huyu anatafuta nesi amchukulie mkopo saccos amnunulie boda boda...huo ndo Ungese...unataka lelewa...tafuta engineer nao wanalea watoto vizuri TU...Tena atakununulia IST ufanye Uber...usife njaaa mtoto wa kiume ame hama group
 
Ninazo, mshahara wa mwalimu na nurse combined ni matumizi yangu ya week

Unasemaje wewe....WATU tuna crons hapa....wewe unajisifia mshahara wako wa million 2... Poor people.mindset...tafuta hela acha kujisifia vijicenti vyako vya mshahara...What is mshahara? Rubbish.
 
Back
Top Bottom