Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
Kwa maelezo haya umekiri mwenyewe lwamba hajafanya chochote! Bwawa na nyerere wakati magu anaondoka mkandarasi alishalipwa asilimia 90, na zilizobaki zilikuwepo tayari, the same apply to kigongo busisi bridge, mjibu tu muuliza swali kuwa mama yenu hajafanya chochote zaidi ya kupunguza idadi ya watu
 
1.Ujenzi wa shule&vituo vya afya nchi nzima.
2.Kukamilisha miradi iliyoanzishwa na hayati JPM
Mfano;Daraja la K/Busisi, Bwawa la Mwl Nyerere, Treni ya SGR nk
Vyote hivi, vilihitaji pesa.
3.Kukumbuka stahiki za wafanyakazi nchini, na kutoa ajira idara mbali*2
So;
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni.
Si sahihi kusema hakuna alichofanya.
 
Mleta maada hajui hata maana ya miradi ni nini? Miradi huwa phases .Kunakuwa na phase 1,two three nk ukianzisha mradi unafanya phase fulani zingine anakuja mwingine

Magufuli alifanya phase zake na mama kapokea kufanya phase zake.Na kila phase huwa na bajeti yake ya wakati huo

Mleta ni CHADEMA kundi la wajinga fulani hivi
Kabisa yani huyu mama tunamchukulia poa tu lakini hipo siku tutaelewa
1:Miradi yote amepokea ikiwa 20-30,lakini amesha maliza
2:Kajenga shule za sekondari za sayansi kama 26 kwa ajili ya wasichana
3: vifaa vya CT scan,MRI ambayo vilikuwa changamoto amesambaza
4: Hospital now,vituo vya afya vimejazana
5:Vyuo vya Veta
6:Miradi ya maji
Nk
 
Naweza kuorodhesha mazuri ya huyu Mama ,hasa kwa awamu yake hii ya 6!.kimtazamo wangu na uzoefu katika mambo kadhaaa,kwasababu wengi wanatajaga kasoro ngoja mimi leo nitoe maua yangu kwa mambo kadhaa si vibaya kuonesha wapi pamekwenda sambamba na heri kwa wengi.!

Lakini ukweli unabaki palepale: kuna juhudi, kuna mabadiliko, na kuna matumaini.

Ajira: Nafasi Mpya, Watu Wanaajiriwa Kila Siku​

Tunaiona Serikali ikifanya kazi kubwa kuhakikisha vijana wanapata ajira. Fursa ziko wazi, taasisi zinatangaza nafasi, watu wanaajiriwa kila leo. Hili ni jambo ambalo kwa miaka ya nyuma lilikuwa gumu sana. Ajira haikuwa rahisi , sasa kuna mwanga.

Wafanyakazi: Miaka 6 Bila Ongezeko ,Hatimaye Sauti Zikasikika​

Wafanyakazi wengi waliteseka kwa zaidi ya miaka sita bila ongezeko la mishahara, licha ya thamani ya pesa kupungua. Ilikuwa ngumu – hali haikuwa rafiki. Lakini sasa, annual increment imerejeshwa. Ni hatua ndogo, lakini ya kishujaa.Inaonesha moyo wa uongozi wa sasa wa kuheshimu wafanyakazi na jasho lao.

Madaraja: Miaka ya Kungoja Hatimaye Imefika Mwisho​

Tuliona watu wakikomea kwenye madaraja yao kwa zaidi ya miaka sita. Hakukuwa na mwelekeo wa wazi. Sasa mambo yamebadilika ,watu wanapandishwa madaraja kwa haki, bila kufungwa na urasimu usio na tija. Hili ni jambo la kupongezwa kwa dhati.

Mazingira ya Kazi: Nafuu Imeletwa, Heshima Imerudi​

Hapo awali, mazingira ya kazi kwa baadhi ya watumishi yalikuwa ya kudhalilisha ,hayakuwa rafiki hata kidogo. Leo hii, hali imeanza kubadilika. Kuna utulivu, kuna heshima, na watu wanafanya kazi kwa raha, si kwa presha. Ni mwanzo mzuri wa kutengeneza taifa lenye ari ya uzalendo.

Afya: Mapambano Kimya Kimya, Lakini Yenye Matokeo Makubwa​

Katika sekta ya afya, Serikali imekabiliana na changamoto kubwa sana: milipuko ya Corona, Marburg, na mengineyo. Tuliona dunia ikiyumba , lakini sisi tulivuka salama. Hili halikufanywa kwa maneno makali ,lilifanyika kwa vitendo, kwa vita tuliyopigana kimya kimya. Hatutakiwi kupuuzia, bali kuthamini.

Elimu: Fursa Zipo , Ukitaka Kusoma, Sasa Ni Juu Yako​

Elimu leo hii inapatikana kwa yeyote mwenye nia. Siku hizi, mtu akiamua, anaweza kusoma hadi vyuo vikuu bila vizingiti vingi. Hili ni jambo lililoanza zamani, lakini sasa limeimarika zaidi. Mtoto akinyea kiganja,hatukikati, tunakisafisha (hasa kwa wale waliopata mimba wakiwa mashuleni). Na sasa elimu inasafishwa, inaimarishwa, na watu wanasoma kwa bidii.

Hitimisho: Kazi Bado Ipo,Lakini Mwelekeo Ni Sahihi​

Awamu ya 6 imepambana na changamoto kwa namna ya kipekee. Kuna mambo bado, lakini kwa macho ya haki, kuna kazi imefanyika. Tuendelee kuunga mkono, kutoa ushauri wa kujenga, na kujivunia hatua zinazopigwa. Mbele yetu kuna matumaini makubwa.

~Chavalikungu hapa!!
Mkuu ulielewa swali?
 
Miradi ya mama ndo hiyo?
Kuajiri nao ni mradi? Kweli elimu ya bongo ni ugoro kabisa

Unataka kusema, waliokuwa wameajiriwa kabla yake huku kukijengwa miradi kedekede, walijivunia mradi wa kuajiri?

Ujinga
 
ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
Mmebaki hapohapo kama chura

Mtu anauliza miradi ya mama weweunakuja na ngonjera sjui za nani huko

Tuambie, mikopo ya mama matrilion hayo yamepelekwa wapi?

Inamaana hiyo miradi iliyoachwa ilihitaji 52.7t kuisha.?
 
1.Ujenzi wa shule&vituo vya afya nchi nzima.
2.Kukamilisha miradi iliyoanzishwa na hayati JPM
Mfano;Daraja la K/Busisi, Bwawa la Mwl Nyerere, Treni ya SGR nk
Vyote hivi, vilihitaji pesa.
3.Kukumbuka stahiki za wafanyakazi nchini, na kutoa ajira idara mbali*2
So;
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni.
Si sahihi kusema hakuna alichofanya.
1) upo sahihi ila walao taja hzo shule na vituo vya afya..
2)upo sahihi kabisa japo swali ni miradi si kuendelea
3)halikuwa jibu la swali na muuliza swali..
 
1.Ujenzi wa shule&vituo vya afya nchi nzima.
2.Kukamilisha miradi iliyoanzishwa na hayati JPM
Mfano;Daraja la K/Busisi, Bwawa la Mwl Nyerere, Treni ya SGR nk
Vyote hivi, vilihitaji pesa.
3.Kukumbuka stahiki za wafanyakazi nchini, na kutoa ajira idara mbali*2
So;
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni.
Si sahihi kusema hakuna alichofanya.

Zipi sasa?
Acha roho ya ivyo ,Dr Samia amefanya makubwa sana
 
Mmebaki hapohapo kama chura

Mtu anauliza miradi ya mama weweunakuja na ngonjera sjui za nani huko

Tuambie, mikopo ya mama matrilion hayo yamepelekwa wapi?

Inamaana hiyo miradi iliyoachwa ilihitaji 52.7t kuisha.?
Kwa hiyo ww kwa akili zako Mradi ni nyumba au physical objects tu,nenda kijijini kwenu utakuta zahanati zimeongezeka,nenda Muhimbili kaone huduma zinazotolewa pale,uliza jirani yako ajira alizo toa mama,
 
Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!

Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Kwa hiyo inayozinduliwa ni baba yako ailijenga sio
 
Kwa hiyo ww kwa akili zako Mradi ni nyumba au physical objects tu,nenda kijijini kwenu utakuta zahanati zimeongezeka,nenda Muhimbili kaone huduma zinazotolewa pale,uliza jirani yako ajira alizo toa mama,
Miradi yenyewe mnaielezea kwa hasira ya kulazimisha..! Hovyo kabisa

Unajua mi nakaa wapi mpaka uniambie niende kwetu?

Sema,,, mama kafanya nini?

Kama wewe ni chawa wa mama, hupaswi kulipwa chochote, maana hujui hata alichofanya mama
 
Miradi ya kujenga shule,hospital ni mirad ambayo hata mimi huku koromije duara langu likitema nina uwezo wa kuifanya…! Pumbavu sana Samia….Zumarid wa siasa.
 
Back
Top Bottom