Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
Miradi yote ilioachwa na JPM inajulikana bei zake na of course hata kilicho lipwa kabla hajafa pia kinajulikana. Mteteeni mama kwa evidences, tajeni mama kafanya ABCD, vipo vingi tu. Daraja, bwawa la mwalimu Nyerere plus SGR ziondoeni kwenye equation
 
Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!

Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Mjiambiwa ninyi ni manyumbu mnabisha. Kuna vitu vya afya zaidi ya mia mia tatu, vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000, shule mpya zaidi ya ishirini, barabara zenye urefu zaidi ya km 2500, majosho zaidi ya 50 n.k. sijui huwa unajifungia ndani au umechagua kuwa nyumbu
 
Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!

Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Amemalizia miradi iliyokwama awamu ya tano
 
ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
🖕
 
Back
Top Bottom