fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,850
- 2,979
Sijaona jibu hapa ngoja nikalale
Njoo tulale na tugaragazane kwa bed.Miradi iliyoanzishwa na BICHWA KOMWE ni kama ifuatavyo:-
1. BICHWA KOMWE WA MAMA
2. SECRETARY BIRD WA MAMA
3. NYANI NGABU WA MAMA
4. COCASTIC WA MAMA
5. LAMOMY WA MAMA
6. LUCAS WA MAMA
Cc: Lucas Mwashambwa secretarybird cocastic Lamomy Nyani Ngabu Mbaga Jr min -me
Misaada na tozo ya miamalaHii ilikuwa misaada ya covid19
Makusudi tu🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo wao hawajaona pikipiki na baiskeli? Au makusudi tu!
Amebinafsisha bandari zote na amemalizia wanyama na kumfunga lissu kumpandisha cheo bossy wangu jakaya kikweteNionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!
Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Miradi mingi ya Magufuli tayari pesa ilikuepondugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
Shule,zahanati,hospitali na vituo vya afya nchi nzima
Kwani hiyo iliyo kamilika amemalizia nani acheni roho za kichawi
Huna hoja wewe chawa na kuna watu wanapotea hatujui sasa kama ndio miradi yenyewe hiyo.ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
Chawa kama wewe wajinga namna hiyo bado mko wengi hata kizungu hujui kuandika. Bure kabisa.Kwanza mpumbavu km wewe hakuna anayekutaka CCM, bogas kabisa.
Mkuu mbona kama wewe ndio umeandika uharo hapa😂😂😂ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
Ila unafiki 🤣🤣🤣Kila kitu kafanya hatumdai chochote, kilichobaki ni kwenda kutoa misaada huko iran ama Israel kwa wa hanga wa kivita.
Ana miradi ifuatayoMiradi ipo mingi lakini si miradi yenye mantiki au yenye tija ambayo inaweza kulingana na kiasi cha ukuwaji wa deni la taifa.
Mama mitano tenaIla unafiki 🤣🤣🤣