Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!

Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Hizi sasa fitina...Si alimalizia miradi iliyoachwa na awamu ya tano? Angetoa wapi budget ya kuanza mipya?
 
Naweza kuorodhesha mazuri ya huyu Mama ,hasa kwa awamu yake hii ya 6!.kimtazamo wangu na uzoefu katika mambo kadhaaa,kwasababu wengi wanatajaga kasoro ngoja mimi leo nitoe maua yangu kwa mambo kadhaa si vibaya kuonesha wapi pamekwenda sambamba na heri kwa wengi.!

Lakini ukweli unabaki palepale: kuna juhudi, kuna mabadiliko, na kuna matumaini.

Ajira: Nafasi Mpya, Watu Wanaajiriwa Kila Siku​

Tunaiona Serikali ikifanya kazi kubwa kuhakikisha vijana wanapata ajira. Fursa ziko wazi, taasisi zinatangaza nafasi, watu wanaajiriwa kila leo. Hili ni jambo ambalo kwa miaka ya nyuma lilikuwa gumu sana. Ajira haikuwa rahisi , sasa kuna mwanga.

Wafanyakazi: Miaka 6 Bila Ongezeko ,Hatimaye Sauti Zikasikika​

Wafanyakazi wengi waliteseka kwa zaidi ya miaka sita bila ongezeko la mishahara, licha ya thamani ya pesa kupungua. Ilikuwa ngumu – hali haikuwa rafiki. Lakini sasa, annual increment imerejeshwa. Ni hatua ndogo, lakini ya kishujaa.Inaonesha moyo wa uongozi wa sasa wa kuheshimu wafanyakazi na jasho lao.

Madaraja: Miaka ya Kungoja Hatimaye Imefika Mwisho​

Tuliona watu wakikomea kwenye madaraja yao kwa zaidi ya miaka sita. Hakukuwa na mwelekeo wa wazi. Sasa mambo yamebadilika ,watu wanapandishwa madaraja kwa haki, bila kufungwa na urasimu usio na tija. Hili ni jambo la kupongezwa kwa dhati.

Mazingira ya Kazi: Nafuu Imeletwa, Heshima Imerudi​

Hapo awali, mazingira ya kazi kwa baadhi ya watumishi yalikuwa ya kudhalilisha ,hayakuwa rafiki hata kidogo. Leo hii, hali imeanza kubadilika. Kuna utulivu, kuna heshima, na watu wanafanya kazi kwa raha, si kwa presha. Ni mwanzo mzuri wa kutengeneza taifa lenye ari ya uzalendo.

Afya: Mapambano Kimya Kimya, Lakini Yenye Matokeo Makubwa​

Katika sekta ya afya, Serikali imekabiliana na changamoto kubwa sana: milipuko ya Corona, Marburg, na mengineyo. Tuliona dunia ikiyumba , lakini sisi tulivuka salama. Hili halikufanywa kwa maneno makali ,lilifanyika kwa vitendo, kwa vita tuliyopigana kimya kimya. Hatutakiwi kupuuzia, bali kuthamini.

Elimu: Fursa Zipo , Ukitaka Kusoma, Sasa Ni Juu Yako​

Elimu leo hii inapatikana kwa yeyote mwenye nia. Siku hizi, mtu akiamua, anaweza kusoma hadi vyuo vikuu bila vizingiti vingi. Hili ni jambo lililoanza zamani, lakini sasa limeimarika zaidi. Mtoto akinyea kiganja,hatukikati, tunakisafisha (hasa kwa wale waliopata mimba wakiwa mashuleni). Na sasa elimu inasafishwa, inaimarishwa, na watu wanasoma kwa bidii.

Hitimisho: Kazi Bado Ipo,Lakini Mwelekeo Ni Sahihi​

Awamu ya 6 imepambana na changamoto kwa namna ya kipekee. Kuna mambo bado, lakini kwa macho ya haki, kuna kazi imefanyika. Tuendelee kuunga mkono, kutoa ushauri wa kujenga, na kujivunia hatua zinazopigwa. Mbele yetu kuna matumaini makubwa.

~Chavalikungu hapa!!
Yani miradi hadi muiulize chart gpt? Sisiem kumanyoko zenu.
 
Yapo aliyofanya shule za sayansi wasichana nchini nzima,hospital n.k pia uwezi kuanzisha miradi mikubwa wkt mtangulizi wako ameacha viporo vyakutosha since aliondoka akiwa bado hajamaliza miradi aliyoanzisha.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
 
Lori la mama
IMG_20250621_120045_239.jpg
 
Kwani hiyo iliyo kamilika amemalizia nani acheni roho za kichawi
Mleta maada hajui hata maana ya miradi ni nini? Miradi huwa phases .Kunakuwa na phase 1,two three nk ukianzisha mradi unafanya phase fulani zingine anakuja mwingine

Magufuli alifanya phase zake na mama kapokea kufanya phase zake.Na kila phase huwa na bajeti yake ya wakati huo

Mleta ni CHADEMA kundi la wajinga fulani hivi
 
ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
Kwahiyo JPM angekopa pia trillion 50?
 
Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!

Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Ipo mingi tu mbona
 
We ni miradi ya nani unaifahamu? Mbn mpumbavu hivyo? Huyu mama mwacheni tu amefanya miujiza, Magufuli alichoweza ni kuanzisha miradi huyu mama Rais wetu amepambana kukamilisha miradi ya matrilioni. Magu SGR aliiacha 30%, JNHP 25%, Daraja la Kigongo-Busisi 25%, Ikulu Dodoma chini ya 30%, ameshajenga uwanja wa Kimataifa wa ndege Dodoma, amemalizia hospitali ya rufaa ya kitalii Chato, mradi mkubwa wa maji Mwanga-Same-Korogwe, hiyo ni baadhi ya miradi mikubwa, bado miradi chungu nzima nchi nzima. Amepandisha vyeo watumishi wa umma miaka yote zaidi ya mitano, anaajiri kila mwaka, madaraja yanapanda kila mwaka siwezi kuvitaja vyote, ila ni miujiza huyu Rais ni mtu na nusu. Hv kwl unajisikiaje kuandika upuuzi km huo? Wapumbavu km nyie ht Mungu hamuwezi kumshukuru.
 
Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!

Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Kwanza mpumbavu km wewe hakuna anayekutaka CCM, bogas kabisa.
 
ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
pu

Huna hata haya mwanaume mzima😏
 
Back
Top Bottom