Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
Ahsante mtu wa Mungu watu km hilo bwege ht shetani hawahitaji.
 
Hakuna kitu amefanya huyu air hostess.Wengi wanakupanga na story za anaendeleza miradi ya Magufuri ambayo ilikuwa haijakamilika lakini ni ujinga tu.

Shule sijui zahanati si waziri wa fedha alisema makato tunayokatwa kila tunapofanya transactions pesa zinaenda huko? Au wameacha kukata sahivi?Sasa mtu kusema shule sijui zahanati ni miradi ya mama anakuwa anasema vitu gani? Si michango ya wananchi kwenye miamala yao hiyo?
 
Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!

Huo mradi nikiuona najiunga ccm
-Ubinafsishaji wa Bandari Kwa dipiweldi na adani
-uteuzi wa viongozi wa mashirika ya umma, titisielo , Bandari, msd
- ubinafsishaji wa Mwendokasi
 
1. BAJETI YA WATEKAJI (Mabilioni ya Tshs)
2. GOLI LA MAMA ( MAMILIONI)
3. PIKIPIKI ZA SSH 2025 NCHI NZIMA(MABILIONI)
4. BAISKELI ZA SSH 2025
5. MACHAWA ,WASANII WA MAMA
6.MARIDHIANO NA F.A.M ( MABILIONI)
7. MRADI WA CHAUMA NA VYAMA SHIKIZI
(MABILIONI)
8. KESI YA UHAINI YA TAL posho za maaskari na Mawakili wa Serikali (MAMILIONI)
9. BRANDING(Mabango ya mama)
MABILIONI
 
Back
Top Bottom