zombi
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,620
- 1,344
Kuna nchi ukienda 98% ni mikono ya sweta, ukikaa mwaka huko unarudi na nta.Ptuuuuu!! Wanaume (sio wote) muwe na japo akiba kidogo ya aibu. Unatumia nguvu nyiiingi kumshawishi mwanamke. Unakubaliwa. Mnaenda hoteli, unalipia na unaagiza vinywaji.
Muda wa kujigijigi unafika, unavua nguo zako.. kumbe mkono wa sweta. Looo, hunipati ng'ooooooo
Kwendraaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app