Niondokee na mkono wako wa sweta

Niondokee na mkono wako wa sweta

JF inawatumiaji wengi sana yaaan hii leo ni ID mpya kwangu.


Umefanya vzuri kukimbia.,, mikono ya sweta nirahisi kukuambukiza au kuambukizwa magonjwa.

Ila ungemuonea huruma, mtu kakutumia nauli. Kalipia room. Umekula wee na kunywaa, jamaan umeshindwa mpako asafishe rungu tu ????


Kweli wanaume mateso[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Kiongoz ulitaka amuonee huruma kwa staili gani au kumpigisha nyeto[emoji16][emoji16]?
 
Ungesubili upate kitombo kitakatifu mbona umekimbia na chupi mkononi yani wew unatukana kabla ujavuka mto
 
aliyekujaza huyu mtoto kwenye avatar ndo ana mkono wa sweta nini??
 
Ptuuuuu!! Wanaume (sio wote) muwe na japo akiba kidogo ya aibu. Unatumia nguvu nyiiingi kumshawishi mwanamke. Unakubaliwa. Mnaenda hoteli, unalipia na unaagiza vinywaji.

Muda wa kujigijigi unafika, unavua nguo zako.. kumbe mkono wa sweta. Looo, hunipati ng'ooooooo

Kwendraaaaaaa
Huenda jamaa alikuwa na mpango wa kuvaa condom ko wewe kuona mkono wa sweta tu ndo ukamkimbia mwenzio na garama zote hzo mlizotumia, vibaya hvo.
Yan jamaa kule aliko analaumu sana sikukuu ya mwisho wa mwaka huu ameisherekea hovyo!
Ingependeza unge mpa neno lolote kuhusiana na jinsi alivyo na ukamwambia na madhara ya kuwa hvo hasa magonjwa anayoweza pata huenda angekuelewa na akaenda kuondoa huo mkono wa sweta kwan sh ngap, we ukakimbia tatzo haya bwana.
 
Anhaaa...naomba unitoe basi hapo kwenye avatar yako, kwani kuwa kwangu na sweta kunahusiana nini zaidi na kuniweka kwenye hilo profile picture bila kibali changu?
Ptuuuuu!! Wanaume (sio wote) muwe na japo akiba kidogo ya aibu. Unatumia nguvu nyiiingi kumshawishi mwanamke. Unakubaliwa. Mnaenda hoteli, unalipia na unaagiza vinywaji.

Muda wa kujigijigi unafika, unavua nguo zako.. kumbe mkono wa sweta. Looo, hunipati ng'ooooooo

Kwendraaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najiulizaga sana, unakuta demu umemvuta kaja hotelini ijumaa na ushamwambia utamuachia jumapili jioni, halafu wakati wa mechi ukifika anakuuliza unagodomu? Ukimuuliza we umekuja nayo, anakutumbulia macho. Unamwambia nyanyua mto, anakuta rundo. Anatabasamu, anakupa uvae mwenyewe. Basi, ndio wakubwa wenye hela tunavyofaidi hivyo.
 
Back
Top Bottom