Nionavyo Mimi Kuhusu Askofu Gwajima...

"But with any health advancement comes potential risk. Gennaro says that with a DNA vaccine, there is always a risk it can cause a permanent change to the cell’s natural DNA sequence."
Hiyo ni quote ambayo nimeipata kwenye hiyo article hapa chini; ukiangalia kwenye Pro's and Con's utaiona. Hakuna anyejua kwa uhakika nini kitatokea kwenye DNA za mchanjwaji:
Asante sana kwa kutuletea makala uliyotaja. Je umeisoma? Kama umeisoma umeona kwamba chanjo zote zilizopo sokoni si zile za "DNA"; kuna utafiti wa chanjo za aina hii lakini hakuna iliyofika hadi sasa.
Zile ambazo ziko sokoni (Biontech n.k.) ni zila anazoita hapa "RNA". Makala inaeleza hizi haziwezi kubadilsha seli za mwili.
Tafadhali usome upya!
Ninasimama palepale kwa chanjo zilizopo hakuna inayoweza kubadilisha mfumo wa DNA ya mwilimni mwa binadmu.
 
Kifupi walimlazimisha ubunge kwa kuexpose zike video za ngono.....lkn hakupenda na anatafuta sababu auache ubunge..Ni hivyo tu
 
Una upeo mdogo wa kufikiri.

Form ya surgery inakutaka ukaze namba ya NIDA?

DETAILS zinazohitajika kwenye form ya surgery zinahusiana na history ya tatizo lako na ukaribu wa ndugu zako.

Ipo siku mtamuelewa tu Gwajima (Askofu).

Gwajima waziri haelewi anachokiamini, marehemu akiamka Leo naona atafariki Tena, wote wamemsaliti, hawaelewi nini wanachokisimamia, wafia tumbo tu

Huyo marehemu alikuwa nani kwenye nchi hii zaidi ya kuwa jizi la kura, na kulea kundi la watu wasiojulikana?
 
Hana shida na Ubunge amechoka nao au haoni kama ni big deal hivyo anaongea anachokiamini bila woga/shaka.

Si mnafiki anazungumza anachokiamini. Mtu wa namna hii ni mzuri akipata wasaa wa kuamini jambo lenye faida kwa Taifa. Hayumbishwi. Tunapaswa kuwa na watu wa namna hii

Huyu ni mtu wa system au ana back up kubwa sana. Alianza jiamini toka serikali ya marehemu ni yeye pekee aliyeweza pambana na makonda waziwazi kipindi makonda akiwa ni kipenzi cha marehemu.

Si mjinga anajua anachokifanya na kusema. Mpaka sasa hoja zake hazijajibiwa ameishia kutukanwa tu.

Mwisho natoa wito watu mkachanjwe chale. Corona ipo.
Gwajima ametumwa na Bi chokochoko kufanya anayoyafanya , unakumbuka Ndugai na masuala ya Tozo ?
 
Nakubali s kigeu geu hata chadema chama changu kilishindwa simamia ukwel uliohubir miaka mingi juu ya ufisadi lakn akaletwa fisadi Tena agombee urais na hii kitu inatutesa Sana sisi wanachadema



...Tanzania hatuna chama chakutuletea maendeleo ........

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom