Nionavyo CHADEMA hawaitakii mema Tanzania

Basi hata hiyo post ya Twitter aliyeiweka ni mtu (Halima Mdee) na siyo CHADEMA.
Kwanini uwalaumu CHADEMA wote kama unaujua huu ukweli ???
Tunailaumu chadema kwani katika matukio mengi,huwa anaongea mtu mmoja na hatimae kupata back up ya chama kizima,kumbuka kauli zenu zote utakubaliana na mimi,,,
 
Matusi hayo kijana,,jibu hoja acha siasa chafu
Wewe unaendika upuuuzi hapo na kuona ni hoja una akili wewe kama sio mpuuzi kama wapuuzi wengine hivi unakaa na kuanzisha hoja kama hiyo ukidhani utajibiwa kwa upuuzi wako na ulivyo zwazwa unaweka na simu ukidhani pole pole atakupigia ukachukue buku 7 hupati hata mia zwazwa wewe.
 
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

Hapa Kazi tu.

Kura yangu 2020=JPM
 
Wewe unaendika upuuuzi hapo na kuona ni hoja una akili wewe kama sio mpuuzi kama wapuuzi wengine hivi unakaa na kuanzisha hoja kama hiyo ukidhani utajibiwa kwa upuuzi wako na ulivyo zwazwa unaweka na simu ukidhani pole pole atakupigia ukachukue buku 7 hupati hata mia zwazwa wewe.
unajibu nini kama nimeandika upuuzi,basi wewe ndio mpuuzi square!!
 
jina lake titus john huyu mleta mada wala simuandiki kwa herufi kubwa maana hata akili hana
 
Tunailaumu chadema kwani katika matukio mengi,huwa anaongea mtu mmoja na hatimae kupata back up ya chama kizima,kumbuka kauli zenu zote utakubaliana na mimi,,,

Hata CCM ufisadi alianza nao Raisi Mwinyi hatimae akapata Back Up ya Chama kizima, au umesahau ???
Mwaka 1990 mlimpa kura nyingi sana (Mwinyi) za kuingia tena Ikulu ilhali mkijua ni Fisadi.
Mwaka 2000 mlimpa kura nyingi sana (Mkapa) za kuingia tena Ikulu ilhali mkijua kabisa kwamba ameshauza nchi.

NB: Ukishayakumbuka haya matendo yenu yenye Unafiki, Ulafi na Kujipendekeza utakubaliana na mimi.
 
Just particulars kama ambavyo adress inamtambulisha alipo mtu.Jibu hoja acha mbwembwe wewe!!!

Sijaona hoja ya kujibu bali namba ya simu. Nimekupigia hupatikani. Ngoja nikitumie bando unless una tochi.
 
unajibu nini kama nimeandika upuuzi,basi wewe ndio mpuuzi square!!
Mimi sijibu upuuzi sababu nakujua ukianzaga kuwashwa ndio maana,najua huwa ukitafuta wa kukukuna lazima uweke namba ili upigiwe lkn nakwambia wamestuka
 
Hata CCM ufisadi alianza nao Raisi Mwinyi hatimae akapata Back Up ya Chama kizima, au umesahau ???
Mwaka 1990 mlimpa kura nyingi sana (Mwinyi) za kuingia tena Ikulu ilhali mkijua ni Fisadi.
Mwaka 2000 mlimpa kura nyingi sana (Mkapa) za kuingia tena Ikulu ilhali mkijua kabisa kwamba ameshauza nchi.

NB: Ukishayakumbuka haya matendo yenu yenye Unafiki, Ulafi na Kujipendekeza utakubaliana na mimi.[/QUOTE
CCM hii ni CCM mpya kabisa,ndio maana 2015 tuliwakata baadi ya watu basi nyinyi bila kujua mkawapokea kwa uangamivu wenu
 
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

Akili zilizo nyeshewa mvua ndo hizi naona jamaa unatafuta kuteuliwa uta wait sana
 
Back
Top Bottom