Nionavyo CHADEMA hawaitakii mema Tanzania

Mimi sijibu upuuzi sababu nakujua ukianzaga kuwashwa ndio maana,najua huwa ukitafuta wa kukukuna lazima uweke namba ili upigiwe lkn nakwambia wamestuka
usilazimishe watu waamini unacho hisi wewe,hilo ndilo linawasumbua nyinyi mnalazimisha watu waamni hisia zenu.badilika achana na siasa za kufuata upepo.
 
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

CCM NDO HAMUITAKI TANZANIA MEMA MJIGEUZA WAKOLONI KAZI KUNG,ANG,ANIA MADARAKA NA KUIBA RASILIMALI ZETU. CCM NI CHAMA CHA MAFISADI NA MIJIZI MUNGU ANAWAONA NA IPO CKU ATAWATAWANYA,MAAN SASA MNATAKA KUTAWALA KWA MKONO WA CHUMA KWA KUWAUWA WAPINZANI NA KUWAPOTEZA,MMELAANIWA
 
CCM ya zamani iko CHADEMA.CCM ya JPM ni mpya kabisa na inakidhi haja za watanzania
 
usilazimishe watu waamini unacho hisi wewe,hilo ndilo linawasumbua nyinyi mnalazimisha watu waamni hisia zenu.badilika achana na siasa za kufuata upepo.
Kwa hiyo unataka tuamini upuuzi wako wa kusema kuwa ccm ndio watetezi wa wanyonge sindio,daaa unatia huruma sana kijana usiendeshwe na mihemko unapotoa hoja kwa watu waliosoma ongea ukweli utaona watu watajadili hoja yako vizuri na kwa point, sio unaleta stori za wenye wivu hapa.
 
going to school does not guarantee that you are educated
 
Kwa hiyo unataka tuamini upuuzi wako wa kusema kuwa ccm ndio watetezi wa wanyonge sindio,daaa unatia huruma sana kijana usiendeshwe na mihemko unapotoa hoja kwa watu waliosoma ongea ukweli utaona watu watajadili hoja yako vizuri na kwa point, sio unaleta stori za wenye wivu hapa.
Masikini gani au mnyonge gani anaetetewa na ccm hapa,watu wanabomolewa Nyumba tena pakiwa na stop order ya mahakama,watoto na akina mama wanalala nje wewe unaleta stories za kibwege alafu unataka tukusifie,kiongozi gani wa ccm amelaani swaala hili mpaka Leo alafu anasema watetezi wa wanyonge
 
Chadema aliondoka nayo Mzee Slaa mkuu. Hilo tunaloliona kwa sasa ni kundi la Futuhi lililojaa matamko na matukio hatarishi.
Hata ccm alikwisha kufa nayo nyerere! hilo ni kundi la kigaidi! chama cha magaidi! mitutu na bunduki!
 
Kuna kitu kinaitwa siasa na propaganda ni vitu viwili tufauti lkn vinaweza kufanya kazi pamoja,propaganda lzm ziwepo lkn ni lzm uangalie ni propaganda gani haitaiweka serikali/nchi ktk mtafaruku.

wapinzani wanasiasa zao na propaganda zao hivyohivyo ktk chama tawala..
lkn lakujiuliza serikali ya tano imeibua madudu mengi ndio lkn ktk miongo yote iliyopita ni nani alikuwa mtawala kama si ccm.. tunazungumza madini,escrow,kukuwakwa deni la taifa,vyeti feki,ufisadi n.k haya yote yalitendeka chini ya serikali ya wapinzani..?
kuna vitu hadi vinakirihisha! hivi kiongozi wa nchi ya kidemokrasia unaweza toa kauli kama hii "tutashinda hata kwa goli la mkono" nini maana ya haki na demokrasia?
gutuka akili lzm ujue siasa na propaganda za kisiasa lkn lzm uwe na jicho latatu (utafakari makini) kung'amua mengine,sina haja ya kukuaminisha nina haja ya kukuelewesha.. tupambane na hali zetu
 
Hayo ndio tunasema,huna haki ya kuituhumu serikali kwa tuhuma ambazo huna uhakika nazo,,unless una lako jambo
 
Masikini gani au mnyonge gani anaetetewa na ccm hapa,watu wanabomolewa Nyumba tena pakiwa na stop order ya mahakama,watoto na akina mama wanalala nje wewe unaleta stories za kibwege alafu unataka tukusifie,kiongozi gani wa ccm amelaani swaala hili mpaka Leo alafu anasema watetezi wa wanyonge
Hakuna anaeweza kubomolewa kukiwepo zuio la mahakama hizo ni story za kwenye kahawa,lete uthibitisho hapa
 
Kuna kitu kinaitwa siasa na propaganda ni vitu viwili tufauti lkn vinaweza kufanya kazi pamoja,propaganda lzm ziwepo lkn ni lzm uangalie ni propaganda gani haitaiweka serikali/nchi ktk mtafaruku.

wapinzani wanasiasa zao na propaganda zao hivyohivyo ktk chama tawala..
lkn lakujiuliza serikali ya tano imeibua madudu mengi ndio lkn ktk miongo yote iliyopita ni nani alikuwa mtawala kama si ccm.. tunazungumza madini,escrow,kukuwakwa deni la taifa,vyeti feki,ufisadi n.k haya yote yalitendeka chini ya serikali ya wapinzani..?
kuna vitu hadi vinakirihisha! hivi kiongozi wa nchi ya kidemokrasia unaweza toa kauli kama hii "tutashinda hata kwa goli la mkono" nini maana ya haki na demokrasia?
gutuka akili lzm ujue siasa na propaganda za kisiasa lkn lzm uwe na jicho latatu (utafakari makini) kung'amua mengine,sina haja ya kukuaminisha nina haja ya kukuelewesha.. tupambane na hali zetu
CCM sio mtu ni chama kinacho ongozwa na watu,waliokuwepo sawa walizingua,lakini baadhi ya viongozi wakubwa waserikali waliharibu wako huko kwenu sasa.Hivyo CCM mbovu iko CHADEMA, CCM ya sasa ni mpya kabisa chini ya uongozi wa kizalendo wa JPM
 
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

Umepatia kuomba aishi sana maana hataishi milele.

Kuhusu uonacho ni kuwa una pressure ya macho.
Wahi ccbrt kabla hujapofuka kabisaaa!
 
Peleka upuuzi huko huna hoja za kuandika jamii forum zaidi ya kuweka namba zako za simu.
Sasa unajibu nini kama hakuna hoja,nenda twiter,kuna tweet ya dada flani wa marekani kakokpy upost
 
Umepatia kuomba aishi sana maana hataishi milele.

Kuhusu uonacho ni kuwa una pressure ya macho.
Wahi ccbrt kabla hujapofuka kabisaaa!
Inaitwa Glaucoma sasa cjui ni open angle au closed angle najua pia hujui,nenda kale ukwaju.
 
Back
Top Bottom