Nionavyo CHADEMA hawaitakii mema Tanzania

Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

Hini ni watu gani wanaitakia mema nchi hii kati ya Wale walioingia mikataba mibovu ya madini na wale waliooonya kuwa mikataba hiyo ni mibovu na itakuja kutusumbua?.......unaonekana umetumwa na bashite
 
Maana nilikuwa na safari ya kwenda Nairobi mwisho wa mwezi huu nimeahirisha,nisije nikaonekana nimeenda kwa shughuli maalumu kisa Lissu yupo Nairobi. Yaani siasa uchwara hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu hawa chuji kauli zao na madhara ya kauli kwa taifa,lengo lao la kwanza ni ikulu haijalishi taifa linagharimika kiasi gani kwa kauli zao
 
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

Unataka uteuliwe kushika nafasi gani?
 
Hini ni watu gani wanaitakia mema nchi hii kati ya Wale walioingia mikataba mibovu ya madini na wale waliooonya kuwa mikataba hiyo ni mibovu na itakuja kutusumbua?.......unaonekana umetumwa na bashite
Hao watu hawapo CCM ya sasa,hii ni CCM mpya,ukiwataka hao watu nenda CHADEMA baadhi yao wapo huko
 
Aisee hata mimi ninakubaliana na wewe kabisaaaa kwa sababu hao jamaa ndio wakioiingiza nchi hii kwenye MgogoMgen mkubwa wa madeni kwa maamuzi yao mapovu. Pia ni wao walio muonga Dr slaa mchele mingi a kaamua kuondoka. Kwhy hawafai kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kuna chombo cha sheria. Mahakama kazi yake nini? Hao wati wapo chama gani na walikuwa chama gani na serikali ilikuwa chi ya chama.gani? Sasa hayo matatizo yenu mnayahusisha vipi na CDM.[/QUO
Kama unajua hayo kwa nini unaituhumu CCM?
 
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

mnaabudu mtu! Mungu mnamdhalau! watu wa ajabu kabisa! mtu akizungunza ukweli mnamtia risasi! shauri yenu lakini!
 
Back
Top Bottom