Ilifanywa na wahuni wachache ambao sasa wanashughulikiwaJe mikataba ya hovyo hovyo ilifanywa na wa chama gani ??? Je kama kundi wanadhani wamekuwa wanatakia mema taifa ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Persecutory delusion,,katibiwe ni ugonjwa kama malaria kakaCCM mnaitakia nchi mema ndiyomaana mnashambulia wapinzani kwa SMG
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuletee udhibitisho wewe unawashwa au nani,kama hapa unaleta hoja za kusukana saloon leo,nani atakaekipa udhibitisho wewe subiria pana jamaa atakupigia si umeweka namba ili aje akukune,mi Leo nimechoka nimeshamwambia jamaaHakuna anaeweza kubomolewa kukiwepo zuio la mahakama hizo ni story za kwenye kahawa,lete uthibitisho hapa
mtapanua sana vidole,,Nikuletee udhibitisho wewe unawashwa au nani,kama hapa unaleta hoja za kusukana saloon leo,nani atakaekipa udhibitisho wewe subiria pana jamaa atakupigia si umeweka namba ili aje akukune,mi Leo nimechoka nimeshamwambia jamaa
Ili tukukune vizurimtapanua sana vidole,,
Nikuletee udhibitisho wewe unawashwa au nani,kama hapa unaleta hoja za kusukana saloon leo,nani atakaekipa udhibitisho wewe subiria pana jamaa atakupigia si umeweka namba ili aje akukune,mi Leo nimechoka nimeshamwambia jamaa[/QUOTE
Huna hoja wewe,endelea kukopy na kupaste hoja za hao wakubwa zako
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.
MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.
Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.
PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua
TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :
Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.
Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.
Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.
Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.
Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea
Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633
Ajira walishatuma maombi wanasubiri kuitwa kazini.Biashara watu wanafanya na hakuna bughudha kwa wamachinga,viwanda vipo vizuri sana,,ulizia bei ya CEMENT ikoje huko huko uliko alafu linganisha na miaka mitatu iliyopitaWAPI AJIRA
WAPI MIKOPO
WAPI BASHASHARA
WAPI VIWANDA ...........................
NK
HAJA YA WATZ SIO MABUNDUKI NA KUKUTWA KWENYE MASANDARUSI WANANCHI WA TZ WANATOWEKA WENGINE WANATEKWA. KAZI YA SERIKALI NI KUTULINDA SISI NA MALI ZETU NA SI KINYUME CHAKE
Dah! Futuhi! Nimechekaje!!Chadema aliondoka nayo Mzee Slaa mkuu. Hilo tunaloliona kwa sasa ni kundi la Futuhi lililojaa matamko na matukio hatarishi.
HIHIHIHIli tukukune vizuri
mi nimeshamaliza mjadala nilipokwambia kutaza kwa jicho latatu! na sina haja ya kukuaminisha bali kukuelewesha.. na sika anaekoment humu akiwa tofauti na ww basi yupo CDM acha kukariri.. hebu fatilia lowasa ameanza kuwania lini urais.. mpk amefikia chadema unafikiri chadema wanataka nini kwa lowasa.. na lowasa anataka nini chadema.. utajijibu...CCM sio mtu ni chama kinacho ongozwa na watu,waliokuwepo sawa walizingua,lakini baadhi ya viongozi wakubwa waserikali waliharibu wako huko kwenu sasa.Hivyo CCM mbovu iko CHADEMA, CCM ya sasa ni mpya kabisa chini ya uongozi wa kizalendo wa JPM