Safi sanaa.
Umekumbuka wapi?
una Becky wako na weye?
Ni wimbo wa Kenny Rogers. My good old man (RIP) alikua nyimbo zake hizi kila Jumamosi. Made my childhood.
Binafsi ninaye Becky nimemuweka ndani mwaka wa nne huu
Safi sanaa.
Umekumbuka wapi?
una Becky wako na weye?
May God continue to rest the Good Ol' Man in perfect peace.Ni wimbo wa Kenny Rogers. My good old man (RIP) alikua nyimbo zake hizi kila Jumamosi. Made my childhood.
Binafsi ninaye Becky nimemuweka ndani mwaka wa nne huu
May God continue to rest the Good Ol' Man in perfect peace.
Cheers to your Becky.
Mungu akusaidie dada...ila kama kuna mtu naomba anisaidie hivi ni kwa nini wanawake wanachukulia swala la kuolewa kama ugonjwa au ishu kubwa sana kuliko sisi wanaume nataka nilinganishe na majibu niliyonayoPoleni na majukumu
Naomba mniombee nipate mahusiano ya kunitenganisha na MUNGU tu nioombeni nipate MUME sikupenda kuwa single ila MUNGU anakusudio lake[emoji17],Maombi yenu plz
Uishi daima tuMungu atajaalia utapata mume mwenye heri nawewe sista. Especially awe closed na Mungu huyo ndiye atakufaa. Na usiangalie Mwenye hela, hata awe masikini it's okay ilimradi awe closed na Mungu,mtaishi maisha ya amani na upendo.