🤔 hili n tatzokunitenganisha na MUNGU tu
Sitaki kufa bila Mume[emoji25]
Mume hatafutwi kwa papara hizo my dear Coletha.
Upweke unakera, unauma but kama ni mume huwezi kuwa desperate ever.
Ukiwa desperate utakutana na tuchokoraa tu na sio waume.
Take your time. Guard your morals na usali sana.
Thank you.As usual! You never late me down, always. Nice post Rafiki.
Barikiwa sana kwa hili jibu ( bundle ya English imeisha)
Thank you.
Hahaaa. Hilo bundle sijui hata linapandaga saa ngapi.
I wish nitemane nalo.
Bundle la English nitemane nalo.Utemane na bundle au hili jibu zuri ulilojibu?
All in all, hii tasnia ya ndoa ipo complicated sana na inahitaji utulivu wa hali ya juu kuweza kuchukuliana.
Jiunge la mweziAs usual! You never late me down, always. Nice post Rafiki.
Barikiwa sana kwa hili jibu ( bundle ya English imeisha)
acha kutuharibia aseehMume hatafutwi kwa papara hizo my dear Coletha.
Upweke unakera, unauma but kama ni mume huwezi kuwa desperate ever.
Ukiwa desperate utakutana na tuchokoraa tu na sio waume.
Take your time. Guard your morals na usali sana.
Itawasaidia na mabinti zenu wasichezewe mnavyotaka kuwachezea mabinti wa wengine.acha kutuharibia aseeh
Pole dada yangu wakati wako wako utapata mme bora mtumaini mungu atatendaPoleni na majukumu
Naomba mniombee nipate mahusiano ya kunitenganisha na MUNGU tu nioombeni nipate MUME sikupenda kuwa single ila MUNGU anakusudio lake[emoji17],Maombi yenu plz
Nilikuwa natania lakini sasa nipo serious.Itawasaidia na mabinti zenu wasichezewe mnavyotaka kuwachezea mabinti wa wengine.
upo serious au umemaindi?Nilikuwa natania lakini sasa nipo serious.
Kwahiyo wengine wote humu ukiachana na mimi hawana shida ya kuoa ila wanachezea tu?
Wewe wa wapi eeh