Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,871
- 7,610
Wanawake mnafeli padogo sana.
Unakuta jitu linatafta mume mtandaon lkn wanaume wakilifata inbox halirespond good wala kujibu sms za wanaume, hapo unabaki kujiuliza hiv huyu alikuwa akimaanisha alichokipost??.
Mim nataka wanaume humu walio single pelekeni CV zenu kwenye DM ya huyu mtoa mada alafu yeye amchague atakae kidhi vigezo vyake, then atakayekubaliwa arudishe mrejesho hapa ili tuone usiriazi wa hawa viumbe.
Ole wake awapuuze asee nitafanya kila niwezalo kumjua huyu mtoa mada na nitaweka siri zake zote humu JF ili iwe funzo na komesho kwa wanawake wote wanaoleta Utani JF...