Nimecheka wakati uzi unatia huzuni 😅Kuktenganisha??
Ooh saw, Mungu atakupa haja ya moyo wako, relax[emoji4]Si Mungu tu
Mume hatafutwi kwa papara hizo my dear Coletha.Si uniombee tu nipate!!!jamani[emoji28]
Ondoa hiyo mindset.Sitaki kufa bila Mume[emoji25]
Ubarikiwe mtumishi [emoji8]Mume hatafutwi kwa papara hizo my dear Coletha.
Upweke unakera, unauma but kama ni mume huwezi kuwa desperate ever.
Ukiwa desperate utakutana na tuchokoraa tu na sio waume.
Take your time. Guard your morals na usali sana.
Nipo hapa, buchani mbuzi alipo angukia...😋Huyu unaetaka tukuombee uwe nae kwani amesimama hapo? Mbona umeandika fasta hivyo.
Aiseeee [emoji15]Nipo hapa, buchani mbuzi alipo angukia...[emoji39]
Here I'm....☝️
Amen.Ubarikiwe mtumishi [emoji8]