Stephen Shayo
Member
- Nov 13, 2012
- 55
- 11
pole sana dada,hilo ni pepo kabisaa (spiritual husband),lina madhara mengi sana
kwanza hutaolewa na hata kama utaolewa hutapata amani kwenye ndoa yako sababu limechukua nafasi ya mume wako
pili mapepo kazi yao ni uharibifu,kwahiyo hali yako ya uchumi itaharibika,furaha yako,afya yako na pia linaweza kukuua
naomba nikushauri kitu kimoja,mambo ya rohoni yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni hivyo tafuta kanisa ambalo ni la kiroho na uende huko utapata msaada.wewe mwenyewe huwezi kulitoa kwa sababu hilo pepo lina nguvu zaidi yako na ndio maana linakumiliki.
MUNGU ndiye awezae kukusaidia sasa tafuta sehemu ambayo nguvu ya mungu ipo maana yeye ana nguvu kuliko hilo pepo.
napendekeza uende efatha ministry maana pale nimeona nguvu ya mungu