ngoja nitoe elim kidogo hapa
jini mahaba na spiritual husband ni vitu viwili tofauti
yes jini mahaba anaingia kutokana na baadhi ya sbb km alivyozisema gambagumu hapo juu
bt spiritual husband ni mume ambae anakuwa yupo kwako kihali, kwa maana kuna kuwa na mikataba/maagano/makubakiano au matamko yaliwekwa huko nyuma na either wazaz o babu na bibi zetu kumbuka biblia inasema 'nitawapatiliza wana maovu ya baba zao tangu kizazi cha kwanza mpaka cha nne' anaekumbukka mstari hapa atatuwekea, ss hii ndo imefanya cc ndo tunakuwa affected.
ss basi huyu jini mahaba anatoka kwa kuombewa hata kwa kufanya maombi mwenyew km umesimama kwenye imani (sio dini)
bt hyu spiritual husband hatoki kwa maombi tu rahisi rahisi kwa sbb anakuwepo hapo kihalali
ndo maana wengi wanaishia kuzunguka kwny makanisa tofauti bila mafanikio unless ukute mtumishi mwny hyo karama/huduma yes coz sio kila mchungaji/mtumishi anauwezo huo kumbuka Roho mtakatifu amejaalia watumishi karama/huduma tofauti.
ss lzm upate hilo somo uelewa kisha ufanyiwe deliverence ya kuvunja hyo maagano na utakuwa huru na hicho kifungo.
ss hii mikataba/maagano au vifungo kwa jina lingine vinafanya kazi kwa umakini ssna bila watu kujua kwa njia km 1.matambiko, wengi hapa hawaelewi wanafanya tu hasa hiki kizaz chetu
2. kupitia mila na desturi,hapa kuna mambo mengi pia,ngoma za asili nk.
3. mizimu nk
disadvantage zake
hakuna kuolewa,
km umeolewa hakuna maelewano na wengi mpaka ndoa zinavunjika au mume kufariki,
hakuna maendeleo ht km mna kipato kikubwa,somtym kila bness unayoanzisha inakufa yaani ni vurugu mwanzo mwisho
ss mtoa mada tukutane pm kwa maelezo zaidi