Niombeeni mwenzenu

Niombeeni mwenzenu

Sasa siku ukikutana na dume la kibinadamu si utamuona hana lolote..??? Mi nakushauri baki naye hawa wengine fanya kuzaa nao tu

Mkuu vip tena nibaki nae kivip, me cmtaki angekuwa ananipa pesa sawa sasa yy hanipini hata riziki wanini
Binamu nikiwa nae namuona km kituko fulani hiv, ameniwekea roho ya kutowapenda cku hiz
 
nenda ukafanyiwe maombi ,,,, anaweza kuwa jini mahaba anakukula

Mama wee nimshaombea na nimezunguruka makanisa hadi nimekata tamaa
kuna mtu anaitwa MZEE WA YESU nimeenda kwake weee lkn wapi
cjui nifanye nini
 
Pole sana, jaribu kuomba mungu sana kabla ujalala na na kama Muislam basi soma Quraan usiku na jitahidi sana kua na Udhu wakati wa kulala..
 
Mama wee nimshaombea na nimezunguruka makanisa hadi nimekata tamaa
kuna mtu anaitwa MZEE WA YESU nimeenda kwake weee lkn wapi
cjui nifanye nini

uwe unafanya maombi kila siku ,kabla ya kulala na asubuhi ukiamka...........

ikiwezekana funga kabisa.............

likizidi kukomaa tafuta mwanaume akupige kazi vizuri hasa mpaka jini lipate wivu.
 
Mkuu vip tena nibaki nae kivip, me cmtaki angekuwa ananipa pesa sawa sasa yy hanipini hata riziki wanini
Binamu nikiwa nae namuona km kituko fulani hiv, ameniwekea roho ya kutowapenda cku hiz

khaaaaa!!!!! hivi wanawake na pesa kutoka kwa wanaume ni nini hasa?........... tena kama hapo wewe utakuta ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha kutosha tu...........
 
khaaaaa!!!!! hivi wanawake na pesa kutoka kwa wanaume ni nini hasa?........... tena kama hapo wewe utakuta ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha kutosha tu...........

mtu anayeniharibia mipango yangu wanini??
 
Pole bidada, jikite kwenye dua na maombi
 
samahani kidogo, ukifanya nae huwa unaskia raha?

Hahahahahahahahahahahahahahahahahaaa!
Jaman kuna watu mazombie! Uwiiii!
Mwenyewe si kasema mwanzo aliona kawaida, coz alikuwa hagongwi sana (anagongwa reasonably!)
...
Sasa chezo limegeuka! Jamaa kazidisha kiwango! Hata kama wewe usingekubali!
hahahahahahaaaa!
...
Pole sana habari ya hapa! Ongea na wazazi/walezi wakutafutie dawa mbadala! Uswahili unahusika hapo usiende hospitali na badala yake uwende kwa Witch doctor!
Pole sana!
 
kwanza nikutie moyo kwamba ushindi upo.
pili,jini/pepo huingia ndani yako kutokana na uhalali ambao wewe mwenyewe au wazazi wako au mabubu zako waliotoa kwa kujua au kutokujua..mf kuomba mtoto kwa mizimu,kutolewa kwa waganga, au kuangalia picha za ngono, kujichua..kufanya mapenzi on webcam na hasa mtu usiyemfahamu,kushiriki ngono na maagent wa kuzimu n.k
yapo madhara ya kuwa na mahusiano na majini mahaba kama..
itakuwa ngumu sana kuolewa au kudumu kwenye ndoa au kuzaa,na utakuwa unaishi double life..ujinini na duniani..na misheni ya pepo ni kuharibu na kuiba maisha yako.
SOLUTION.
Kwanza ichukie hiyo hali wala usiifurahie.
Mpe YESU KRISTO maisha yako.
Kama hutafunguliwa instantily,hudhuria shule ya ukombozi ambapo utajifunza neno la Mungu ili uzijue haki zako,then utaongozwa kufunja mikataba ya kipepo .nataka ujue hata kama utaombewa na hujapata maarifa ni rahisi hilo pepo kukurudia.
ukikombolewa katika hilo utakua umekomboa na kizazi chako.kwa msaada zaidi pm
 
hahaha Husninyo banah! Hii ilishanitokea yan unakua kwenye tendo kabisa ila sura ya mwanaume ndo inakua haionekani..ila mimi njia niliyotumia kukabiliana na hyo hali ni tofauti kidogo.....anyway Mungu akulinde..

Hiyo niia uliyotumia kupambana na hiyo kitu fanya kuiweka hadharani au fanya ku-PM mwenzio asije akabebeshwa uja uzito kabisa
 
Huyo anaitwa jini mahaba(spiritual husband)...atakufanya usiolewe,usipate mtoto na hata kama ukiolewa ull never be happy in that marrage,na jingine atakuzalisha hadi na mtoto wa kijini usipokuwa makini...nakushauri tembelea website ya emmanue TV(SCOAN),huwa wanafanya sana maombi ya ukombozi kutoka katika vifungo vya shetani,pia tembelea website ya Mwakasege tuma maombi wakuombee,na wewe pia jifunze kuomba,jifunike kwa damu ya Yesu kabla ya kulala,kataa hiyo roho kwani mwili wako ni hekalu takatifu.
 
Pole sana.

Hii kitu chimbuko lake ni kubwa sana na sidhani kama niaweza kueleza yote, nikushauri uende kwa dada mmoja pale Ubungo (nyuma ya Ubungo plaza- Ubungo KKKT) kuna Dada mmoja anaitwa Grace yupo na team yake pale, Mungu amewapa neema kubwa sana kwenye haya maswala ya vifungo vya nguvu za giza. Plz give a try.

Ukikwama Ni PM

Kwa maombi yenu nitasimama, kwa maombi yenu nitafanikiwa na kwa ushauri wenu nitapona, poleni na majukumu yenu ya kila siku.

Mwezenu leo inabidi niseme kwani hii hali imenichosha sana, takriban miaka mitatu sana nikilala usiku kuna mtu huwa anakuja na kufanya mapenzi na me, mwanzoni nilidhani ni hali tu ya kawaida lkn inanistua kwani kwa sasa hiv amekuwa akija mara nyingi zaidi, mbaya zaidi ni kwamba nikimuona mwanaume namuona km mtu anayetisha. Hii ni kitu gani jamani hebu nisaidien sina raha kabisa!!
 
Pole dear!
Mimi ilikuwa ikinitokea tena tena ktk sura za watu ninaowafahamu, sali sana utapona pia ktk kusali anza kwa kuomba toba, pia usamehe waliokukosea mambo yatakuwa poa. Mi imeisha kabisaa
 
ngoja nitoe elim kidogo hapa
jini mahaba na spiritual husband ni vitu viwili tofauti

yes jini mahaba anaingia kutokana na baadhi ya sbb km alivyozisema gambagumu hapo juu

bt spiritual husband ni mume ambae anakuwa yupo kwako kihali, kwa maana kuna kuwa na mikataba/maagano/makubakiano au matamko yaliwekwa huko nyuma na either wazaz o babu na bibi zetu kumbuka biblia inasema 'nitawapatiliza wana maovu ya baba zao tangu kizazi cha kwanza mpaka cha nne' anaekumbukka mstari hapa atatuwekea, ss hii ndo imefanya cc ndo tunakuwa affected.

ss basi huyu jini mahaba anatoka kwa kuombewa hata kwa kufanya maombi mwenyew km umesimama kwenye imani (sio dini)

bt hyu spiritual husband hatoki kwa maombi tu rahisi rahisi kwa sbb anakuwepo hapo kihalali
ndo maana wengi wanaishia kuzunguka kwny makanisa tofauti bila mafanikio unless ukute mtumishi mwny hyo karama/huduma yes coz sio kila mchungaji/mtumishi anauwezo huo kumbuka Roho mtakatifu amejaalia watumishi karama/huduma tofauti.

ss lzm upate hilo somo uelewa kisha ufanyiwe deliverence ya kuvunja hyo maagano na utakuwa huru na hicho kifungo.

ss hii mikataba/maagano au vifungo kwa jina lingine vinafanya kazi kwa umakini ssna bila watu kujua kwa njia km 1.matambiko, wengi hapa hawaelewi wanafanya tu hasa hiki kizaz chetu
2. kupitia mila na desturi,hapa kuna mambo mengi pia,ngoma za asili nk.
3. mizimu nk

disadvantage zake
hakuna kuolewa,
km umeolewa hakuna maelewano na wengi mpaka ndoa zinavunjika au mume kufariki,
hakuna maendeleo ht km mna kipato kikubwa,somtym kila bness unayoanzisha inakufa yaani ni vurugu mwanzo mwisho

ss mtoa mada tukutane pm kwa maelezo zaidi
 
Itumie Damu ya Yesu kujitenga na hilo jini mahaba. Kama unahitaji ushauri zaidi nipm nikuunganishe na watu wakukuombea.


Kwa maombi yenu nitasimama, kwa maombi yenu nitafanikiwa na kwa ushauri wenu nitapona, poleni na majukumu yenu ya kila siku.

Mwezenu leo inabidi niseme kwani hii hali imenichosha sana, takriban miaka mitatu sana nikilala usiku kuna mtu huwa anakuja na kufanya mapenzi na me, mwanzoni nilidhani ni hali tu ya kawaida lkn inanistua kwani kwa sasa hiv amekuwa akija mara nyingi zaidi, mbaya zaidi ni kwamba nikimuona mwanaume namuona km mtu anayetisha. Hii ni kitu gani jamani hebu nisaidien sina raha kabisa!!
 
Back
Top Bottom