Niokoeni wapendwa, nimekwama

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,825
Habarini za jioni marafiki.
Wapendwa niko katika wakati mgumu sana na ninahitaji msaada wennu hasa wa kifedha.

Hivi karibuni nimeingia kwenye ndoa, kama mjuavyo, ishu za harusi zinakuaga na utumiaji wa pesa nyingi, hii haikua ishu sana maana nilikua na mishe zangu ambazo niliamini hata baada ya harusi, mambo yatakuwa poa tu.

Mungu hupanga tusivyopanga. Siku tatu kabla ya harusi ukatokea msiba wa mtu wa karibu sana kiasi ambacho uliathiri mtiririko mzima wa tukio la harusi na hata baada ya tukio mambo yameendelea kuwa magumu kwani hata biashara zangu sa hivi haziko vizuri labisa.

Nimekuja kwenu wanajamvi na wanafamilia wenzangu,
Ninadaiwa kiasi cha laki nne na arobaini (440,000) na mwisho inatakiwa iwe jumatatu ya tr 17 naombeni msaada wenu jamani maana ntadharirika mwenzenu.

Updates
Wapendwa ninawashukuru sana kwa michango yenu. Zaidi nawashukuru wale mlioguswa na shida yangu na mkaamua kutoa kwa ajili yangu. Mungu awazidishie.

Nilichojifunza.
Wengi wanaoreplay huishia kusema tu lakini wanaotoa ni nadra hata kuwaona wakijibu kwenye uzi.

Yote kwa yote nawashukuru
 
Tatizo ulifanya sherehe kubwa na ya kifahari sana kuzidi uwezo wako ili kumlizisha mkeo,alafu kingine mkeo anakupelekesha sana mara salon ,mara shoping za nguo,mara beach kwenye hotel za kitalii. We bwana badilika wanawake ni umiza kichwa usipowajulia hasa miaka ya mwanzoni baada ya ndoa.
 
Hivi umeandika huu uzi ukitegemea kuna mtu atakusaidia au....pole kijana tunaoenda kumaliza haja zetu kwa boksi 7 sio kwamba hatuna mapenzi ya kweli...ni kuepuka mambo kama haya tu...
 
Tatizo ulifanya sherehe kubwa na ya kifahari sana kuzidi uwezo wako ili kumlizisha mkeo,alafu kingine mkeo anakupelekesha sana mara salon ,mara shoping za nguo,mara beach kwenye hotel za kitalii. We bwana badilika wanawake ni umiza kichwa usipowajulia hasa miaka ya mwanzoni baada ya ndoa.
Ahsante kwa ushauri, ila nadhani hujui ulichokisema.
All in all jitahidi kujiridhisha kabla ya kusema chochote
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom