Niokoeni wapendwa, nimekwama

Habarini za jioni marafiki.
Wapendwa niko katika wakati mgumu sana na ninahitaji msaada wennu hasa wa kifedha.

Hivi karibuni nimeingia kwenye ndoa, kama mjuavyo, ishu za harusi zinakuaga na utumiaji wa pesa nyingi, hii haikua ishu sana maana nilikua na mishe zangu ambazo niliamini hata baada ya harusi, mambo yatakuwa poa tu.

Mungu hupanga tusivyopanga. Siku tatu kabla ya harusi ukatokea msiba wa mtu wa karibu sana kiasi ambacho uliathiri mtiririko mzima wa tukio la harusi na hata baada ya tukio mambo yameendelea kuwa magumu kwani hata biashara zangu sa hivi haziko vizuri labisa.

Nimekuja kwenu wanajamvi na wanafamilia wenzangu,
Ninadaiwa kiasi cha laki nne na arobaini (440,000) na mwisho inatakiwa iwe jumatatu ya tr 17 naombeni msaada wenu jamani maana ntadharirika mwenzenu.

Mwenye kuguswa na ombi langu napatikana kwa namba 0754339539
My bro you even never said how you will pay back if one gives you the money, or you are looking for a donation
 
Mku pole sana ila mshike wife mchange nusu kwa nusu mana kama sifa za kusherehesha watu mmepata wote leo madeni uachiwe wewe .Note kama hauko vizuri usifanye sherehe kwa sifa oaneni mkiwa fresh mpashe kiporo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom