Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,541
- 916
Moja kati ya wendawazimu unaofanywa na baadhi ya Watanzania ni kuungana na wageni kwa lengo la kudhalilisha nchi ya Tanzania na kuingiza kwenye machafuko
Wendawazimu hao wamepofuka wala hawajui kuwa wageni hao wanatafuta soko la silaha na ardhi ya ziada
Hao wageni wanaoungana nao wanataka Watanzania wafe wote ili wamiliki ardhi yenu kwasababu ardhi yao imeshajaa wanachokifanya sasa ni kutafuta ardhi ya ziada ili ziishi mbegu zao zilizokosa ardhi
Lakini pia wanaua miradi ya Tanzania kwa kutumia mapandikizi kwa lengo la kutaka wakabiziwe wao kama sivyo basi miradi ife ili fedha zilizokopwa zishindikane kulipa ili wachukue rehani iliyowekwa kubwa zaidi Tanzania ibaki kuwa masikini ili waendelee kuigeuze kama chapati
Watanzania wanaoungana na wageni kwa lengo la kuchafua na kupaka Tanzania kinyesi hawajitambui kwasababu baada ya hao wageni kufanikiwa kuipokonya Tanzania, hatua ya mwisho itakuwa kuwamaliza hao waliowasaidia
Sio rahisi kugundua kuwa Tanzania inavurugwa na wageni kwasababu wageni hao wanatumia raia wa Tanzania kuivuruga
Jambo ambalo linawia Watanzania ugumu kutambua nani mbaya na kuishia kulaumiana wao kwa wao
Hata akili ya maendeleo aliyeharibu ni wageni kwa lengo la kutaka Tanzania isifanikiwe kwenye miradi ya kukuza uchumi ili iendelee kugeuzwa kama chapati
Wageni hao wanahakikisha wanaweka mapandikizi yatakayohujumu miradi yote ya Serikali mbaya zaidi pandikizi hao ni raia wa Tanzania kwahiyo inakuwa vigumu kugundua nani mbaya
Pandikizi hao wanafanya kazi na Wakoloni na wanalipwa mamilioni ya fedha, kazi yao kubwa ni kuharibu nchi ili Wakoloni waendelee kuitia dole
Taifa lililoimarika kiuchumi huwa halifai kugeuza na hii ndiyo hofu kubwa ya wageni
Kila raisi atakayekuja mkali watahakikisha wanapita nae ili waendelee kubagaza Tanzania wanavyotaka wao hata kama watataka kuiingilia kwa njia yeyote ile iwe nyuma, mbele, kulia, kushoto basi iwe rahisi pasipokuwa na vikwazo vya aina yeyote ile
Matatizo yanayotokea Tanzania yanamchanganya hata raisi yeyote yule atakayeongoza kwasababu hajui siri hii anabaki tu kujiuliza mbona ametumbukizwa kwenye matatizo ambayo hata yeye mwenyewe hajui yametokeaje
Hii nikwasababu njia wanazotumia Wakoloni ni za kimafumbo sana tena ngumu sana ambazo kwa kiongozi wa kawaida hawezi kufumbua yeye atabaki kuona nchi ikivurugika huku yeye akiwa ametumbukia shimoni
Raisi Putin na Taore wanafahamu siri hii ndiyo sababu ya kuwekeza nguvu kubwa kuwakataa Wakoloni kwasababu wanafahamu kuwa wakiwapa nafasi lazima wawageuze kwa njia zote ikiwemo upinde na njia nyinginezo chafu ili waendelee kuwapiga dole