peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,829
- 21,460
Vipi unataka kupoteza watu iwe moja ya vipeombele zake? Tujeze tafadhali.Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Kipaumbele chetu ni 2025 by hooks and crooks.Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Kama unavijua, vitaje!Hahahaaaa, WACHAWI bwana!
Sasa tufanye hivi, hana vipaumbele vyovyote hivyo nendeni tu mkamtoe na mumuweke huyo polepole tupumzike kelele
Vipaumbele vya awamu ya sita ni kumalizia miradi yote ya awamu ya tano ili isiishie njiani na kubakia magofu.Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Vipaumbele vya awamu ya sita ni kumalizia miradi yote ya awamu ya tano ili isiishie njiani na kubakia magofu.
Kipaumbele cha pili ni kuwa rafiki na jumuiya ya kimataifa, ndio maana Mulamula akapewa nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje ili uzoefu wake urudishe uhusiano mwema na mataifa haswa yale makubwa duniani.
Kipaumbele cha tatu ni kuhakikisha nchi nzima inapata maji, miradi mikubwa inafunguliwa miaka ya sasa.
Huo ni mueleko tosha kabisa. Kikao kama kile cha COP26 kuhudhuriwa na rais mwenyewe ni sehemu tu ya umakini wa muelekeo mzima wa awamu ya sita.
Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Kwahiyo hakuna miradi mipya tunayoitegemea?Vipaumbele vya awamu ya sita ni kumalizia miradi yote ya awamu ya tano ili isiishie njiani na kubakia magofu.
Kipaumbele cha pili ni kuwa rafiki na jumuiya ya kimataifa, ndio maana Mulamula akapewa nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje ili uzoefu wake urudishe uhusiano mwema na mataifa haswa yale makubwa duniani.
Kipaumbele cha tatu ni kuhakikisha nchi nzima inapata maji, miradi mikubwa inafunguliwa miaka ya sasa.
Huo ni mueleko tosha kabisa. Kikao kama kile cha COP26 kuhudhuriwa na rais mwenyewe ni sehemu tu ya umakini wa muelekeo mzima wa awamu ya sita.
Trips za kufungua nchi. 🤔Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Hizo CT scanner anazonunua mikoa yote ni kipaumbele chako?Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo