Nini vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita?

Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Vipi unataka kupoteza watu iwe moja ya vipeombele zake? Tujeze tafadhali.
 
1.kutafuta democrasia na mataifa ya nje 2.50 /50 baina ya jinsia ya kike na ya kiume 3.kuwamini watu ambao ni madui zake wa ndani pia watamsumbua 2025 4.kumurudisha January makamba ndani ya mfumo Sasa hapa amepigwa changalamacho hapa sasa MDA utatuambia 5.

Kuzungumzia kuhusu TUHUMA ya mboe kuwa NI gaidi lakini hapa kuna mawili a.hapa inawezekana aliamini maneno ya wasaidizi wake ndiyo maana akazungumza hadharani kuhusiana na kesi ya mbowe b kwa asilimia mbowe atafungwa na kuna siku atatolewa Kwa msamaha WA raisi the time will tell n.k ,mama NI mama MDA utatuambia
 
Hahahaaaa, WACHAWI bwana!
Sasa tufanye hivi, hana vipaumbele vyovyote hivyo nendeni tu mkamtoe na mumuweke huyo polepole tupumzike kelele
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Kama unavijua, vitaje!
1.kulinda masilahi ya Kikwete
2.Kuzuru nchi zote za ulaya na Amerika
3.Kugawa pato la nchi sawa Kati ya Zanzibar na Tz
 
Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Vipaumbele vya awamu ya sita ni kumalizia miradi yote ya awamu ya tano ili isiishie njiani na kubakia magofu.

Kipaumbele cha pili ni kuwa rafiki na jumuiya ya kimataifa, ndio maana Mulamula akapewa nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje ili uzoefu wake urudishe uhusiano mwema na mataifa haswa yale makubwa duniani.

Kipaumbele cha tatu ni kuhakikisha nchi nzima inapata maji, miradi mikubwa inafunguliwa miaka ya sasa.

Huo ni mueleko tosha kabisa. Kikao kama kile cha COP26 kuhudhuriwa na rais mwenyewe ni sehemu tu ya umakini wa muelekeo mzima wa awamu ya sita.
 
1B7D93AF-01FD-4B36-8D56-147BB5553545.jpeg
 
Kwahiyo hakuna miradi mipya tunayoitegemea?
 
Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Trips za kufungua nchi. 🤔
 
Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Hizo CT scanner anazonunua mikoa yote ni kipaumbele chako?

Miradi ya kimkakati SGR,NYERERE HYDROELECTRIC DAM vyote havinakamilika wewe unataka vipaumbele vingine kwa pesa zipi?

Mama ametoa pesa kila wilaya miradi lukuki, halafu wewe unakurupuka na k-vant imekujaa kichwani unaleta maswali ya kilevi humu?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom