makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,631
- 109,041
Kwamba!!? π€Shindii lete hela, upwiru utakuua.
Malisafi, hutaki kugaiwa kwangu π€£Mbona unanigawa hivyo kama pilau la msibani π€£π
Pole mwaya π«Nimemmiss shemeji yenu π₯Ή
Hayo ndiyo maneno sasa πππBasi chukua makaveli10
Najiuliza hajui km sina nguvu za kiume ana kutafuta kudhalilishana tu π€£ππMalisafi, hutaki kugaiwa kwangu π€£
Sasa kama nyumbani umegoma kurudi si bora nikugawe tuπββοΈMbona unanigawa hivyo kama pilau la msibani π€£π
Nimemiss ile life ya kulala peke yangu....Nikiandika ninachokimiss kwa wakati huu na hizi akili za usiku, uzi hautapitishwa na moderators.
Nimewamiss wote, harakati za uchaguzi zimeniweka mbali na JF.
View attachment 3492008
Vipi wenzangu mnamiss nini?
Babe tulia, mimi dalali tu. Na ukichelewa kurudi hadi tv natafutia mteja.Kwamba!!? π€
Samahani, mie bado kijana mdogo, naulinda UVULANA wangu, mpaka nitakapooa.Babe tulia, mimi dalali tu. Na ukichelewa kurudi hadi tv natafutia mteja.
Nitawashukuru sanaπHaya njoo tukupe tiba, mbona tatizo dogo tu hilo π π π tutakuchangia na Lamomy utapona π
Hayo ni matumizi mabaya ya ulinzi. Nenda kaklilinde Taifa, majambazi ya ccm yanaigawana tu.Samahani, mie bado kijana mdogo, naulinda UVULANA wangu, mpaka nitakapooa.
Tarehe 29 utauonq UBAYA UBWELA WANGUHayo ni matumizi mabaya ya ulinzi. Nenda kaklilinde Taifa, majambazi ya ccm yanaigawana tu.
Sawa, ngoja tujiandaeNitawashukuru sanaπ
π€£π
Nyie fanyeni maandalizi mie nawasubiri muda wowote, mpira kati.Sawa, ngoja tujiandae
πΉπΉπΉNa ulinzi umekushinda, Maka ana miezi miwili hayupo nyumbaniπββοΈπββοΈπββοΈ
Ukikosa kwa Atoto nitakulipa mwenyewe kwani sh ngapi..πΉπΉπΉ
Jamani doria imenishinda sa itakuwaje boss wangu?
Wee makaveli10 unanitakia nini lakini mwenzio? π₯
Nikikosa salary kwa atoto utanilipa wewe au huo mchepuko wako uliokuficha mwezi mzima..!! πΉπΉπΉ