kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Nadhani huwa anaingia ndoani kimaslahi na siyo ili akatulie atengeneze familia.Sana, ila unawezaje kubadili wanaume kiasi hicho?
How about idadi ya wanaume ambao hawakumuoa? kama kwenye ndoa tu tayari ana sita.
Hii nime download, sijui hata wametumia ipi. Umakapenda eehUmetumia AI gani kutengeneza hii video?
Dhambi tena mbaya mno! Hizo nyanya chungu nakula sana sijaona lolote ni uzushi tuπOhoooo.. nyanya chungu a.k.a ngonwe nzuri sana hizi pia kwa watoto wa kike teh teh... na kwa wanaume nasikia
Akuuuu, uzinzi dhambi πππ
Kumiliki sio shida, ila sasa mambo yake hayavumiliki jman mweeeNadhani, hawezi kukosa maana nasikia ni mmiliki wa shule huko Mbeya
ππ dambi , mie ndio maana sifanyagi naogopa kuchomwa motoDhambi tena mbaya mno! Hizo nyanya chungu nakuoa sana sijaona lolote ni uzushi tuπ
Wapendwa wa Bwana! Poleni hakuna cha nynya ntole au nyanya chungu kila mtu na maumbile yake bwanaππ dambi , mie ndio maana sifanyagi naogopa kuchomwa moto
nyanya chungu kube uzushii eeh! Mnaona nyie ma expert mnajua mambo kuliko sie wapendwa
Nipe maujanja, siku nikipata na mie ki manzi.. nitumieapo mbinu za kivitaWapendwa wa Bwana! Poleni hakuna cha nynya ntole au nyanya chungu kila mtu na maumbile yake bwana
Mi nayatoa wapi usukuma ni mwingi!Nipe maujanja, siku nikipata na mie ki manzi.. nitumieapo mbinu za kivita
ππ aah! Jamani usinifanyie ivyo mwanafunzi miyeMi nayatloa wapi usukuma ni mwingi!
Siku ukianza mechi utaijua thamani ya ngogwe na bamia! Saivi tuendelee an mikesha na ibada kila sikuπDhambi tena mbaya mno! Hizo nyanya chungu nakula sana sijaona lolote ni uzushi tuπ
Huku ndo mboga zetu kula dagaa lazima uweke hizi vitu, nikianza ntaleta mrejesho!Siku ukianza mechi utaijua thamani ya ngogwe na bamia! Saivi tuendelee an mikesha na ibada kila sikuπ
Leo haijawa nywinywinywi ππ Leo uhakika utamuona
Hatari sana ni kitamu kuliko kitumbua.Kitamu sana
Mama Antipas, Mimi nakumiss wwβ€οΈ
Mwanakwetu mwenyewe huu mwezi niko juu juu sikaliki, humu naingia kwa kuibia..!!
Inasikitisha sana, na ni kweli ndoa za kiislamu talaka nje nje, angekua mkristo basi kufuatilia talaka yenyewe tu miaka 6 πNadhani huwa anaingia ndoani kimaslahi na siyo ili akatulie atengeneze familia.
Hizo ndoa za kiislamu mimi ndiyo maana sizipendagi maana muda wowote mkichokana mnaachana tu hata ukitamkiwa tuachane nasikia ndiyo talaka hiyo
Hapana buana, hapo upate kitumbua kimeloa mafuta na bado cha moto motoooo πππ€ arooooo, huwezi kufananisha!Hatari sana ni kitamu kuliko kitumbua.
Roho mbaya wapi, na mimi nimemuita niwaone mnavyobebishana kiroho kiniume kidogo π πAtoto sio dada yangu, ni my love wangu. Mbona unanichomea utambi...kumbe una roho mbaya π
Labda chako ndo kitakua kitamu unipe nionje, siyo hivi vya uswahilini wanafungasha na magazeti vimenishinda tabia.Hapana buana, hapo upate kitumbua kimeloa mafuta na bado cha moto motoooo arooooo, huwezi kufananisha!