Hivi huyu mzee huwa ana mke kabisaπ€¦π½ββοΈMzee mmoja huko tiktok na Instagram anaongeaga kila jambo analoona haliko sawa, juzi ilikuwa zamu ya Zaiylisa akamsema mtoto mdogo wa miaka 26 ana ndoa 6 huo ni um*aly na mwishoni anamaliziaga kwa kusema nachoka mimi baba yenu Clemence Mwandambo ππ
Mimi hizo nyimbo zako mzuka haupandiπ€¦π½ββοΈKwani nasema uongo sasa jamani Seran ?
Hapo ulipo waendeleaje lakini kipenzi.. Leo asubuhi nimepata mzuka na hakaa.. Ka Morning kamenogaaa
View attachment 3492158
Naomba chapati basi ππMimi hizo nyimbo zako mzuka haupandiπ€¦π½ββοΈ
Story of my lifeπ€¦π½ββοΈ Kiburi nilikuwa nacho aisee si eti huyo mtu nikawa namtafuta mimi tu! Mwee sahivi mwaka sifanyi hii kazi akinitext namjibu kama naumia vidoleπ€ ni kunata hatari!Ni kweli. Kama ni mtu wa hivyo mpotezee maana utaishia kuumia bure.
Ilishanitokea nikaumia sana kwa mtu flani ambae nilimkubali sana kama rafiki lakini niliona kabisa kwamba nalazimisha mawasiliano, niliumia kwa muda mrefu ila sasa nashukuru maana nimeshapona simkumbuki tena na najishangaa kwanini nilikuwa na kiherehere cha kumtafutaπ.
Leo sijapikaπ jana mvua ilikuwa kubwa nikaona tu nipike kutoka nje siwezi.. leo ni ugali tu hakuna bf!Naomba chapati basi ππ
Basi huu sikiza dk moya tu alafu uniambie... unapendeza sanaa, kama hiyo haipandi π
View attachment 3492165
Aloo.. Mvua tenaa ππLeo sijapikaπ jana mvua ilikuwa kubwa nikaona tu nipike kutoka nje siwezi.. leo ni ugali tu hakuna bf!
Kawimbo ni katamu balaaπ haka umeniokotamoπ
Asante kwa kunielewa!!π π πNi kweli. Kama ni mtu wa hivyo mpotezee maana utaishia kuumia bure.
Ilishanitokea nikaumia sana kwa mtu flani ambae nilimkubali sana kama rafiki lakini niliona kabisa kwamba nalazimisha mawasiliano, niliumia kwa muda mrefu ila sasa nashukuru maana nimeshapona simkumbuki tena na najishangaa kwanini nilikuwa na kiherehere cha kumtafutaπ.
Ukivisit A town pita masai landDaaah imekuwaje haya mambo sijawahi kuyajua jamani. Anyway, acha tutembee tujionee mambo π
Dona mzee..! πAloo.. Mvua tenaa ππ
Unakula ugali wa uwele au dona na uji kama mie hapa asubuhi asubuhi tumboo ndiii
Hako kawimbo huku romance kama kibabeee eeh.. yani french kiss ππ
ila matusi yana raha yake jamanii..
Dona na mboga ya uji wa dona, nyie wa kishua haya mambo hamuyawezi ππDona mzee..! π
Ila wazinziπ€
Unapoelekea utaanza kusifia uji na nyanyachunguDona na mboga ya uji wa dona, nyie wa kishua haya mambo hamuyawezi ππ
Akuuu, mie na uzinzi kama kaskazini na kusini π π
Ohoooo.. nyanya chungu a.k.a ngonwe nzuri sana hizi pia kwa watoto wa kike teh teh... na kwa wanaume nasikiaUnapoelekea utaanza kusifia uji na nyanyachungu
Wewe code zote za kizinzi unazo..
Pole mpwa, all the best Pesa zipatikane ukizitafuta.Nimemiss childhood na pesa π₯²
Sawa, endelea kujifunza πNajifunza dadaake sitaki kupitwa na ya duniaπ
Umetumia AI gani kutengeneza hii video?Kwani nasema uongo sasa jamani Seran ?
Hapo ulipo waendeleaje lakini kipenzi.. Leo asubuhi nimepata mzuka na hakaa.. Ka Morning kamenogaaa
View attachment 3492158
Nadhani, hawezi kukosa maana nasikia ni mmiliki wa shule huko MbeyaHivi huyu mzee huwa ana mke kabisaπ€¦π½ββοΈ
Sana, ila unawezaje kubadili wanaume kiasi hicho?Mimi mwenyewe nimeshangaa Dunia ina mambo