Acha ukorofiAcha maelezo mengi, tupia kafoto buana π
Nimeacha πAcha ukorofi
Unataka unionyeshe maajabu gani huko PM ?Njoo pm
Wacha wee ππΉπΉπΉ Kila mbabe ana mbabe wake..!!
Ila naye akae kwa kutulia siku akizingua ataporomoshewa πHuyo shemeji yako bana π
πΉπΉπΉ Siwezi namuheshimu..!!Wacha wee π
Ila naye akae kwa kutulia siku akizingua ataporomoshewa π
Haya nilitaka kuuliza mmekutana humu JF? ila nahisi nayo hiyo itakua kukuchimba mwanakwetu π π ππΉπΉπΉ Siwezi namuheshimu..!!
Halafu acha kunichimba basi π€£
Kummejent msanii kaziUnataka unionyeshe maajabu gani huko PM ?
We mbona uko hivyo πΉπΉπΉHaya nilitaka kuuliza mmekutana humu JF? ila nahisi nayo hiyo itakua kukuchimba mwanakwetu π π π
Haya nimeacha fujo πWe mbona uko hivyo πΉπΉπΉ
Ntakuchapa ujue π
Update haijaja, umezima nini Vincenzo JrHaya, ikifika saa kumi jioni utupe update, mambo yanaendaje huko π
Ukiwa unamsikiliza ezo utakeshaπUpdate haijaja, umezima nini Vincenzo Jr
Nilikuwa site naunga mabomba ya maji ya nchi Moja na nusuπUpdate haijaja, umezima nini Vincenzo Jr
Nilikuwa site πUkiwa unamsikiliza ezo utakeshaπ
Wasalimie sana huko ulipo πAiiikoo. Kwa niaba ya Amiri jeshi mkuu sijamboπ€π€
Sawa plumber mzoefu π Vipi mabomba yamekua fixed na yamerusha maji vizuri?Nilikuwa site naunga mabomba ya maji ya nchi Moja na nusuπ
Ndio πSawa plumber mzoefu π Vipi mabomba yamekua fixed na yamerusha maji vizuri?
Ukipata nafasi karibia Tupate kikombe Cha Kahawa mkuu.Wasalimie sana huko ulipo π