Tofauti ya maneno haya kwenye taaluma ya macho ni nini?

Gana

Member
Oct 27, 2021
79
138
Tofauti ya maneno haya kwenye taaluma ya macho ni nini?

1. Optician
2. Optometrist
3. Ophthalmologist

● Je, optometrist anaweza kua ophthalmologist?

● Kwa hapa Tanzania ni vyuo vipi wanatoa izo course & kwa hapa TZ ipi ina soko zaid optician, optometrist, ophthalmologist
 
bila google sio rahisi kupata majibju, labda kama kuna mtaalamu wa hilo eneo aje kutupa elimu
 
Tofauti ya maneno haya kwenye taaluma ya macho ni nini?

1. Optician
2. Optometrist
3. Ophthalmologist

● Je, optometrist anaweza kua ophthalmologist?

● Kwa hapa Tanzania ni vyuo vipi wanatoa izo course & kwa hapa TZ ipi ina soko zaid optician, optometrist, ophthalmologist

1.optician huyu ni mchonga miwani

2.optometrist huyu anahusika na matibabu ya awali/msingi ya matatizo ya macho.. ni daktari

3.ophthalmologist ni daktari kamili wa macho

karibu sana KCMC mkuu
 
1.optician huyu ni mchonga miwani

2.optometrist huyu anahusika na matibabu ya awali/msingi ya matatizo ya macho.. ni daktari

3.ophthalmologist ni daktari kamili wa macho

karibu sana KCMC mkuu
Shukran je optometrist anaweza kua ophthalmologist?
 
1. Optician - Mpimaji lakini sio kwa kina, na pia Muuza miwani za macho, sio daktari
2. Optometrist- Mpimaji wa macho na kukuchagulia miwani sahihi kwa hitaji la ugonjwa wa macho, sio daktari
3. Ophthalmologist- Huyu full daktari wa macho, na mwenye uwezo pia wa kufanya upasuaji wa macho ili kukuwekea lensi bandia, au kurekebisha ugonjwa kama mtoto wa jicho na mengineyo

Ongezea..
Opthoptist - mpimaji na mchunguzaji wa uwezo wa macho kuona, na pia ufanyaji kazi wa mishipa ya fahamu ya jicho, sio daktari
Shukran je optometrist anaweza kua ophthalmologist? Au ni field tofaut
 
Tofauti ya maneno haya kwenye taaluma ya macho ni nini?

1. Optician
2. Optometrist
3. Ophthalmologist

● Je, optometrist anaweza kua ophthalmologist?

● Kwa hapa Tanzania ni vyuo vipi wanatoa izo course & kwa hapa TZ ipi ina soko zaid optician, optometrist, ophthalmologist
Kiswahili kinahitaji kukua

Hatuna majina ya kiswahili kwa vyeo hivyo? Wale jamaa wa BAKITA wametunga maneno tata sana ya kitwknolojia wanaunganisha maneno ya kilugha mareeefu. Mfano, badala ya kifaa kukiita KISU wao wanakiita KIKATIO. Neno Kikolongawima au simu mpanguso watafute majina au watufuatilie sisi wazee wa swagga za mjini tunavyotoa majina kurahishisha mambo🤣
 
Shukran je optometrist anaweza kua ophthalmologist?

hapana mkuu.. labda urudi kupiga MD ndio uingie ophthalmology.. zamani kulikuwa na kitu kinaitwa Advanced diploma in clinical optometry lakini ilifutwa.. ilikuwa unapiga kazi kama ophthalmologist tu
 
Kiswahili kinahitaji kukua

Hatuna majina ya kiswahili kwa vyeo hivyo? Wale jamaa wa BAKITA wametunga maneno tata sana ya kitwknolojia wanaunganisha maneno ya kilugha mareeefu. Mfano, badala ya kifaa kukiita KISU wao wanakiita KIKATIO. Neno Kikolongawima au simu mpanguso watafute majina au watufuatilie sisi wazee wa swagga za mjini tunavyotoa majina kurahishisha mambo
Hata mimi Mmatumbi ninayeishi mwabepande nawazidi maarifa.

Smart phone;

"Simumguso" Simumpanguso

Juice;

"Juisi" Sharubati

Maneno marefu utadhani kindengereko hadi kero......

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Difference between opthalmology,optometry na optician.
Screenshot_20231008-133147.jpg
Screenshot_20231008-133052.jpg
Screenshot_20231008-132948.jpg
 
Back
Top Bottom