Nenda shule kwanza wwe mtoto kweli ipo sawa
Umeshafikia "conclusion" kuwa ni "uchawi wa kirumi, uchawi wa kiarabu na uchawi wa kiafrika" sasa unataka kujuwa nini zaidi na wewe ni mjuvi?
Vyote ni upuuzi tu na kuibiana akili.
Rozari haijatajwa kwenye biblia lakini sara zinazotajwa ziko kwenye biblia .....ni urahisi tuu wakati wa kusali hata vidole waweza tumia
Majibu rahisi kwenye maswali magumu
Pole sana kwasababu unaishi kihisia karne hii haitakiwi uishi kijinga jinga namna hiyo Kila kitu kiko wazi.
Naona zote ni sawa. Mwenye kujua tofauti zake anijulishe. Uchawi wa Kirumi, Uchawi wa Kiarabu na Uchawi wa Kiafrika.
mshana jr mzee wa chanting karibu sana..
sasa kwa namna yoyote ile wewe ni shetani unataka kuwajaribu binadamu kwani majibu umeweka ila bado unataka majibu mengine.
yamekuwa hayoooo?
Mambo ya Kiroho ni ngumu kuyaelewa ukitaka kulazimisha sana Akili yako iweze kuelewa,mimi ni Mkatoliki na ninasali Rozari almost kila siku kwasababu inanisaidia sana;Kwa ufupi Rozari Takatifu-ni ufupisho wa Injili,hivyo kwa kusali Rozari tunakuwa tunatafakari Maisha na Matendo ya Kristo pamoja na Mama yake,Yaani kuanzia Masimulizi ya utoto wa Yesu,Namna alivyofanya kazi yake ya kuhubiri hbr njema,Mateso yake,Kifo,Ufufuko wake hadi Kupaa kwake kwenda Mbinguni,Karibu RC uonje utamu na Raha ya Kusali Rozari Takatifu.
Zina tofauti.......
moja nyeusi.......moja nyeupe.....na nyingine ya pink.......usiniulize kwa nini........maana sijui.......