From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,827
Hekima ya kumlisha kiongozi mwingine maneno??Gambo ni kiongozi na sio mtawala jamaa namkubali sana sana, amejaliwa hekima na busara
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni CCM toaneni hata macho kabisa.Nimeona wanachama wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi wakiongelea kwa hisia tukio la Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu yangu Mrisho Mashaka Gambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha ndugu yangu Gabriel Daqaro.
Bahati nzuri hawa wote ni marafiki zangu tofauti ni kuwa Dc wa Arusha siyo mwanasiasa kabisa lakini wote wawili wanafanana kuwa ni watu Wapole machoni pa watu.
Nakumbuka mwaka 2016 Mh Rc Arusha aliwahi kupatikana na tukio kama ili dhidi ya aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa Manyara Mdogo wangu Alexander Pastory Mnyeti ambapo Mheshimiwa Gambo aliamua kumtimua kwenye kikao.
Sijajua nini kinampata Mheshimiwa Mrisho Gambo sijui ule mwili wake Mdogo watendaji wa chini yake wanamdharau au sijui tatizo ni nini?
Matukio kama Haya inaonyesha jinsi ambavyo watendaji wa serikali hawaelewani na kama hawaelewani maana yake achievement inakuwa ndogo.
Hivi karibuni tulimsikia Waziri Mkuu akiwaagiza mawaziri kwenda mkoa wa Kilimanjaro kusuluhisha mgogoro kati ya Mkuu wa Mkoa na madc wake.
Kwa mantiki hii inayoonyesha kuwa kuna shida kubwa ya mahusiano ya kikazi kati ya hawa makamisaa.
Ningewaomba wanaccm tufanye utafiti sana kabla ya kuongea na kushutumu upande wowote.
Katibu mkuu wa ccm Dr Bashiru Ally aliwahi kutamka mikoa ambayo hakuna mahusiano mazuri ya kiutendaji kati ya chama na Serikali.
Mkoa wa kwanza ilikuwa Mara, Arusha, Dar es salaam na Mbeya lakini kiujumla mahusiano ya Viongozi hayako sawa sehemu nyingi.
Utakuta Madc hawaelewani na maded Marc na makatibu Tawala mikoa Marc na ofisi za chama hawaelewani mbaya zaidi siku hizi wanachama wengi wa ccm ni wafuasi wa Viongozi.
Wanachama wengi wa ccm siku hizi wanashabikia Viongozi kuliko chama.
Kwahiyo kila kiongozi kwa nafasi yake ametengeneza wafuasi wake.
Leo ukitaka kukosoa utendaji wa Viongozi ndani ya chama na serikali utaambiwa una wivu na matusi ya wafuasi utayaoga.
Na hata ili la Arusha wafuasi wa Viongozi wako busy kutetea wapambe wao suala maadili ya Viongozi wa chama hakuna anayejali.
Na hii tabia ya wafuasi wa Viongozi imetamalaki mpk kwenye ngazi ya maamuzi kila kiongozi ana Godfather wake Ndiyo maana hukawii sasa hivi ndani ya chama matamko ya wanachama hayaishi hata kama hayana tija kwa chama au taifa ili mradi aonekane.
Kusema ukweli mahusiano ya kikazi kati ya Mkuu wa Mkoa Arusha na wasaidizi ina shida siyo mazuri sana.
Na Frey Cosseny
Sent using Jamii Forums mobile app
Misimamo ya kuamini kuwa yeye tu ndiyo yupo sahihi muda wote ni misimamo ya mtu anayetakiwa kwenda walau Google tu na kujisomea how to be a good leader/manager.I remember those days kabla hata ya kupata cheo chochote, mitaa ya sakina, Arusha.
Kinachomponza Mdogo wangu Mrisho, ni ile hali ya kuzungumza bila uwoga. Huwa anasema kilichopo moyoni, na ana misimamo yake ambayo ana amini ni misimamo sahihi. Hilo tu ndiyo kosa lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona wanachama wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi wakiongelea kwa hisia tukio la Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu yangu Mrisho Mashaka Gambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha ndugu yangu Gabriel Daqaro.
Bahati nzuri hawa wote ni marafiki zangu tofauti ni kuwa Dc wa Arusha siyo mwanasiasa kabisa lakini wote wawili wanafanana kuwa ni watu Wapole machoni pa watu.
Nakumbuka mwaka 2016 Mh Rc Arusha aliwahi kupatikana na tukio kama ili dhidi ya aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa Manyara Mdogo wangu Alexander Pastory Mnyeti ambapo Mheshimiwa Gambo aliamua kumtimua kwenye kikao.
Sijajua nini kinampata Mheshimiwa Mrisho Gambo sijui ule mwili wake Mdogo watendaji wa chini yake wanamdharau au sijui tatizo ni nini?
Matukio kama Haya inaonyesha jinsi ambavyo watendaji wa serikali hawaelewani na kama hawaelewani maana yake achievement inakuwa ndogo.
Hivi karibuni tulimsikia Waziri Mkuu akiwaagiza mawaziri kwenda mkoa wa Kilimanjaro kusuluhisha mgogoro kati ya Mkuu wa Mkoa na madc wake.
Kwa mantiki hii inayoonyesha kuwa kuna shida kubwa ya mahusiano ya kikazi kati ya hawa makamisaa.
Ningewaomba wanaccm tufanye utafiti sana kabla ya kuongea na kushutumu upande wowote.
Katibu mkuu wa ccm Dr Bashiru Ally aliwahi kutamka mikoa ambayo hakuna mahusiano mazuri ya kiutendaji kati ya chama na Serikali.
Mkoa wa kwanza ilikuwa Mara, Arusha, Dar es salaam na Mbeya lakini kiujumla mahusiano ya Viongozi hayako sawa sehemu nyingi.
Utakuta Madc hawaelewani na maded Marc na makatibu Tawala mikoa Marc na ofisi za chama hawaelewani mbaya zaidi siku hizi wanachama wengi wa ccm ni wafuasi wa Viongozi.
Wanachama wengi wa ccm siku hizi wanashabikia Viongozi kuliko chama.
Kwahiyo kila kiongozi kwa nafasi yake ametengeneza wafuasi wake.
Leo ukitaka kukosoa utendaji wa Viongozi ndani ya chama na serikali utaambiwa una wivu na matusi ya wafuasi utayaoga.
Na hata ili la Arusha wafuasi wa Viongozi wako busy kutetea wapambe wao suala maadili ya Viongozi wa chama hakuna anayejali.
Na hii tabia ya wafuasi wa Viongozi imetamalaki mpk kwenye ngazi ya maamuzi kila kiongozi ana Godfather wake Ndiyo maana hukawii sasa hivi ndani ya chama matamko ya wanachama hayaishi hata kama hayana tija kwa chama au taifa ili mradi aonekane.
Kusema ukweli mahusiano ya kikazi kati ya Mkuu wa Mkoa Arusha na wasaidizi ina shida siyo mazuri sana.
Na Frey Cosseny
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukawa sahihi na nakubali kwamba ukiwa kiongozi ni lazima usikilize upande wa pili.Misimamo ya kuamini kuwa yeye tu ndiyo yupo sahihi muda wote ni misimamo ya mtu anayetakiwa kwenda walau Google tu na kujisomea how to be a good leader/manager.
Hiyo misimamo yake inamsababisha anakuwa na negative attitude.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana Frey kasema makundi yamezidi...wewe unasema ni RC makini halafu wafuasi wa DC watasema nn unafikiria? Wewe ni mfuasi wa RC usiishie kusema Gambo ni RC pekee anaejielewa na sisi wafuasi wa RC wa Simiyu tusemeje?Gambo ni mtu makini mnoo ndo Rc pekee anayejielewa
Hivi ndo Gambo huyu alikuwa Korogwe akawa na dispute na mwanasheria wa halmashauri ya Korogwe au sio huyu?Gambo ni kiongozi na sio mtawala jamaa namkubali sana sana, amejaliwa hekima na busara
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Gambo ni yule aliyemwambia mwanadada mwanasheria kuwa ana degree ya chupi.Hivi ndo Gambo huyu alikuwa Korogwe akawa na dispute na mwanasheria wa halmashauri ya Korogwe au sio huyu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa. Kuwa na dispute haimaanishi yeye ndiye Mwenye kosa. Kumwambia mwanamke ana degree ya chupi na ukawa Na ushahidi sio dhambi.Hivi ndo Gambo huyu alikuwa Korogwe akawa na dispute na mwanasheria wa halmashauri ya Korogwe au sio huyu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala wa wateja wa Mirembe hospital tutaona na kusikia mengiNimeona wanachama wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi wakiongelea kwa hisia tukio la Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu yangu Mrisho Mashaka Gambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha ndugu yangu Gabriel Daqaro.
Bahati nzuri hawa wote ni marafiki zangu tofauti ni kuwa Dc wa Arusha siyo mwanasiasa kabisa lakini wote wawili wanafanana kuwa ni watu Wapole machoni pa watu.
Nakumbuka mwaka 2016 Mh Rc Arusha aliwahi kupatikana na tukio kama ili dhidi ya aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa Manyara Mdogo wangu Alexander Pastory Mnyeti ambapo Mheshimiwa Gambo aliamua kumtimua kwenye kikao.
Sijajua nini kinampata Mheshimiwa Mrisho Gambo sijui ule mwili wake Mdogo watendaji wa chini yake wanamdharau au sijui tatizo ni nini?
Matukio kama Haya inaonyesha jinsi ambavyo watendaji wa serikali hawaelewani na kama hawaelewani maana yake achievement inakuwa ndogo.
Hivi karibuni tulimsikia Waziri Mkuu akiwaagiza mawaziri kwenda mkoa wa Kilimanjaro kusuluhisha mgogoro kati ya Mkuu wa Mkoa na madc wake.
Kwa mantiki hii inayoonyesha kuwa kuna shida kubwa ya mahusiano ya kikazi kati ya hawa makamisaa.
Ningewaomba wanaccm tufanye utafiti sana kabla ya kuongea na kushutumu upande wowote.
Katibu mkuu wa ccm Dr Bashiru Ally aliwahi kutamka mikoa ambayo hakuna mahusiano mazuri ya kiutendaji kati ya chama na Serikali.
Mkoa wa kwanza ilikuwa Mara, Arusha, Dar es salaam na Mbeya lakini kiujumla mahusiano ya Viongozi hayako sawa sehemu nyingi.
Utakuta Madc hawaelewani na maded Marc na makatibu Tawala mikoa Marc na ofisi za chama hawaelewani mbaya zaidi siku hizi wanachama wengi wa ccm ni wafuasi wa Viongozi.
Wanachama wengi wa ccm siku hizi wanashabikia Viongozi kuliko chama.
Kwahiyo kila kiongozi kwa nafasi yake ametengeneza wafuasi wake.
Leo ukitaka kukosoa utendaji wa Viongozi ndani ya chama na serikali utaambiwa una wivu na matusi ya wafuasi utayaoga.
Na hata ili la Arusha wafuasi wa Viongozi wako busy kutetea wapambe wao suala maadili ya Viongozi wa chama hakuna anayejali.
Na hii tabia ya wafuasi wa Viongozi imetamalaki mpk kwenye ngazi ya maamuzi kila kiongozi ana Godfather wake Ndiyo maana hukawii sasa hivi ndani ya chama matamko ya wanachama hayaishi hata kama hayana tija kwa chama au taifa ili mradi aonekane.
Kusema ukweli mahusiano ya kikazi kati ya Mkuu wa Mkoa Arusha na wasaidizi ina shida siyo mazuri sana.
Na Frey Cosseny
Sent using Jamii Forums mobile app
Gumbo alitaka kuhamisha goli... Maelekezo yalitolewa na Waziri, na mkuu Wa mkoa anajua hilo... Inakuwaje aanze tena oooh Mkuu Wa wilaya aliona kasoro ...alitaka kumuangushia jumba bovu DC...Ndo maana Frey kasema makundi yamezidi...wewe unasema ni RC makini halafu wafuasi wa DC watasema nn unafikiria? Wewe ni mfuasi wa RC usiishie kusema Gambo ni RC pekee anaejielewa na sisi wafuasi wa RC wa Simiyu tusemeje?
Wewe leta data zako hapa utueleze umakini wa Gambo na kwa nini DC ndo shida,nje ya hapo ni ushabiki tu unakusumbua.
Unataka kutuambia yule DC ni kichaa au hajui kuwa Gambo ni bosi wake? Ukiona hivyo alishavumilia na imefikia kwenye point of no return. Japo kimaadili ya kazi hapo DC alichemka lakini tusikimbilie solution,source yake ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yule DC sura anafanana sana na Lema!Hawa wote wawili sehemu ya majukumu yao kwenye vyeo vyao ni fitina kwa mpinzani yoyote wa ccm.
Gambo aliwahi kumlisha Lema maneno na kupotosha kwa maneno kwenye speech ikamlazimu Lema kuingilia speech ya Gambo, makada wa CCM walimshukia Lema kuwa hana nidhamu wakiamini kijana Gambo alistahili kumfitinisha Lema na wadhamini wa mradi wa kituo cha mama na mtoto.
Leo yamewafika fitna hizo wanahamishiana wao kwa wao yani ni kama kula nyama ya mtu huwezi kuacha.
Naamini fitna ni sehemu ya topic muhimu sana wanayofundishwa huko UVCCM.
Cheo kimoja kimmeze mwenzake au vyote vifutwe as long as hivi ni vyeo venye mizizi ya kikoloni.
Rasimu ya Warioba iko na suluhisho la hili tatizo la Gambo na mwenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka vidole vyako vimejiandikia bila ya kukushirikisha.Gambo ni mtu makini mnoo ndo Rc pekee anayejielewa
Nimeona wanachama wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi wakiongelea kwa hisia tukio la Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu yangu Mrisho Mashaka Gambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha ndugu yangu Gabriel Daqaro.
Bahati nzuri hawa wote ni marafiki zangu tofauti ni kuwa Dc wa Arusha siyo mwanasiasa kabisa lakini wote wawili wanafanana kuwa ni watu Wapole machoni pa watu.
Nakumbuka mwaka 2016 Mh Rc Arusha aliwahi kupatikana na tukio kama ili dhidi ya aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa Manyara Mdogo wangu Alexander Pastory Mnyeti ambapo Mheshimiwa Gambo aliamua kumtimua kwenye kikao.
Sijajua nini kinampata Mheshimiwa Mrisho Gambo sijui ule mwili wake Mdogo watendaji wa chini yake wanamdharau au sijui tatizo ni nini?
Matukio kama Haya inaonyesha jinsi ambavyo watendaji wa serikali hawaelewani na kama hawaelewani maana yake achievement inakuwa ndogo.
Hivi karibuni tulimsikia Waziri Mkuu akiwaagiza mawaziri kwenda mkoa wa Kilimanjaro kusuluhisha mgogoro kati ya Mkuu wa Mkoa na madc wake.
Kwa mantiki hii inayoonyesha kuwa kuna shida kubwa ya mahusiano ya kikazi kati ya hawa makamisaa.
Ningewaomba wanaccm tufanye utafiti sana kabla ya kuongea na kushutumu upande wowote.
Katibu mkuu wa ccm Dr Bashiru Ally aliwahi kutamka mikoa ambayo hakuna mahusiano mazuri ya kiutendaji kati ya chama na Serikali.
Mkoa wa kwanza ilikuwa Mara, Arusha, Dar es salaam na Mbeya lakini kiujumla mahusiano ya Viongozi hayako sawa sehemu nyingi.
Utakuta Madc hawaelewani na maded Marc na makatibu Tawala mikoa Marc na ofisi za chama hawaelewani mbaya zaidi siku hizi wanachama wengi wa ccm ni wafuasi wa Viongozi.
Wanachama wengi wa ccm siku hizi wanashabikia Viongozi kuliko chama.
Kwahiyo kila kiongozi kwa nafasi yake ametengeneza wafuasi wake.
Leo ukitaka kukosoa utendaji wa Viongozi ndani ya chama na serikali utaambiwa una wivu na matusi ya wafuasi utayaoga.
Na hata ili la Arusha wafuasi wa Viongozi wako busy kutetea wapambe wao suala maadili ya Viongozi wa chama hakuna anayejali.
Na hii tabia ya wafuasi wa Viongozi imetamalaki mpk kwenye ngazi ya maamuzi kila kiongozi ana Godfather wake Ndiyo maana hukawii sasa hivi ndani ya chama matamko ya wanachama hayaishi hata kama hayana tija kwa chama au taifa ili mradi aonekane.
Kusema ukweli mahusiano ya kikazi kati ya Mkuu wa Mkoa Arusha na wasaidizi ina shida siyo mazuri sana.
Na Frey Cosseny
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu naye si alipata madaraka yake kwa kumpindua Dr Ntibenda (sijui kama jina ni sahihi). Au watu wanasahau.Gambo ni mtu makini mnoo ndo Rc pekee anayejielewa