Nini tafsiri ya kumchezea mwanamke!!?

Nini tafsiri ya kumchezea mwanamke!!?

Dan! OTE="Gene da beauty, post: 21908702, member: 429206"][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoa mada jibu hili hapa!![/QUOTE]
Dah! Mi nilijua kwa vile tunawashikashika sana ndo maana wanaona tunawachezea.....!
 
Moja ya biashara zenye risk duniani ni kitendo cha mwanamke kua na boyfriend kwa lengo la kuolewa, aisee it's too risky maana ni sawa unamuonjesha mtu karanga, karanga zikiliwa zimeliwa maana hata mteja akighairi kununua bado huwezi kumdai karanga ulizomuonjesha.

Kuna maneno flani yanaandikwa kwenye stakabadhi za fedha "Non refundable fee"[emoji23]

Mangi anaandika "Bidhaa zikishanunuliwa hazirudishwi"[emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Dan! OTE="Gene da beauty, post: 21908702, member: 429206"][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoa mada jibu hili hapa!!
Dah! Mi nilijua kwa vile tunawashikashika sana ndo maana wanaona tunawachezea.....![/QUOTE]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana mkuu jibu ni hilo ukicheza mziki mbele yke ndo kumchezea!!xa kumshikashika c anaona raha jmn analalamika ni sasa!/
 
Unazeesha papuchi then unasepa,unategemea nani atakula papuchi ya kizee.
 
Ndoto yamwanamke yeyote duniani ni kuolewa na ivo ndivo inatakikana iwe sababu ata vitabu vya dini vimeagiza ivo,sasa kitendo tunachokifanya wanaume wa sikuhizi twawafunua vyupi vyao na kuwaacha tu wakihangaika na wengne kuishia kua single mom sio poa.Vuta picha kama mwanao au dada ykokafanyiwa ivounajisikia ww kaka mtu au baba mtu.
 
Wanawake wanapenda kuchezewa ila hawajui kama wanapenda! 🤷‍♂️🤷‍♂️
 
Ndoto yamwanamke yeyote duniani ni kuolewa na ivo ndivo inatakikana iwe sababu ata vitabu vya dini vimeagiza ivo,sasa kitendo tunachokifanya wanaume wa sikuhizi twawafunua vyupi vyao na kuwaacha tu wakihangaika na wengne kuishia kua single mom sio poa.Vuta picha kama mwanao au dada ykokafanyiwa ivounajisikia ww kaka mtu au baba mtu.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Lengo kuu la mahusiano ni ndoa ,kumchezea ni kuwa naye kwenye mahusiano yasiyo lenga kufikia ndoa kama kupunguzia genye,kampani usiboreke ,kuoshea washkaji kuwa unademu mkali,kutionekana bwabwa,etc wanawake pia hufanya mahusiano ya hivyo anaweza date na kachalii kajinga Ila kanamfikisha hatataka kamuoe ila atakachezea pia ,tatizo wanawake huwa hawako serious na mikataba ya kuchezeana anaingiza kati anadui mkuu MAPENZI YA KWELI
 
Imekuwa kawaida kwa wanawake wakiwatuhumu wenzi wao kuwa wanawachezea!!
- Utasikia mwanaume yule kani heezea we kisha kaniacha!! Au
- Unamtkkea demu afu anakuuliza una mpango gani na Mimi!! Kunioa au unataka kunichezea tu!!
Kwa anayejua tafsiri sahihi Ku hezewa please!!!!



Ukiona mwanamke anakuuliza una nia gani nami, tafadhali sepa na wala usigeuke nyuma. Hao ni wale wanaolazimisha kuolewa, ukimla tu ataondoka na kurudi kesho na sanduku kudai alisahau chupi yake jana. Ataondoka akichukua chupi yake huku akiliacha sanduku ili arudi kesho na kisingizo kingine.
 
Back
Top Bottom