Nini tafsiri ya kumchezea mwanamke!!?

Nini tafsiri ya kumchezea mwanamke!!?

NITIKE NDOSI

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
153
Reaction score
86
Imekuwa kawaida kwa wanawake wakiwatuhumu wenzi wao kuwa wanawachezea!!
- Utasikia mwanaume yule kani heezea we kisha kaniacha!! Au
- Unamtkkea demu afu anakuuliza una mpango gani na Mimi!! Kunioa au unataka kunichezea tu!!
Kwa anayejua tafsiri sahihi Ku hezewa please!!!!
 
Mbona wengine tunawachezea kwanza tukiwa chumbani kabla ya kuikomoa papuchi??!!!
 
Maana yake ni .. Unamvuna matunda yake halafu hata humpalilii wala kummwagilia maji ($$$) ili aweze kustawi...
 
Imekuwa kawaida kwa wanawake wakiwatuhumu wenzi wao kuwa wanawachezea!!
- Utasikia mwanaume yule kani heezea we kisha kaniacha!! Au
- Unamtkkea demu afu anakuuliza una mpango gani na Mimi!! Kunioa au unataka kunichezea tu!!
Kwa anayejua tafsiri sahihi Ku hezewa please!!!!

Wanapata raha kuchezewa ndio maana hawakomi
 
Moja ya biashara zenye risk duniani ni kitendo cha mwanamke kua na boyfriend kwa lengo la kuolewa, aisee it's too risky maana ni sawa unamuonjesha mtu karanga, karanga zikiliwa zimeliwa maana hata mteja akighairi kununua bado huwezi kumdai karanga ulizomuonjesha.

Kuna maneno flani yanaandikwa kwenye stakabadhi za fedha "Non refundable fee"[emoji23]

Mangi anaandika "Bidhaa zikishanunuliwa hazirudishwi"[emoji23]
 
Duh[emoji87] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom