Nini tafsiri sahihi ya kubariki ndoa...?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Nimealikwa ndoa ya my best Friend.. B4 sikuwa najua km hajaoa bado....
Nimekuja kugundua baada ya kupata kadi....kaniambia braza NABARIKI NDOA sikuhoji sana....ni muumini mzuri wa RC....
Embu wadau nisaidieni jamaa ana watoto4 tayari ni age mate wangu....
 
We nenda kama utakuwa na nafasi hayo mengine hayakuhusu mkuu.
 
Nimealikwa ndoa ya my best Friend.. B4 sikuwa najua km hajaoa bado....
Nimekuja kugundua baada ya kupata kadi....kaniambia braza NABARIKI NDOA sikuhoji sana....ni muumini mzuri wa RC....
Embu wadau nisaidieni jamaa ana watoto4 tayari ni age mate wangu....

Nini msimamo wa Kanisa Katoliki juu ya pombe?

👆👆👆
Unawashwa washwa eti?
 
Lazima niende...ni mdau wangu kitambo..nipe tafsiri
Anatimiza sheria/taratibu za kanisa, taratibu za kibiblia ni kupeleka posa na kutoa mahari kisha unakabithiwa mke na wazazi. Ila sheria za kanisa wakaamua kuita ndoa ya kimila
 
Aiseee mi huona Hilo Jambo Kama kuupa uzinzi nafasi.UNAZINIII WEEE UKICHOKA ETI MNABURUZANA KUBARIKI MATENDO YENU!!!!
 
Huyu mwanamke my big Shem..amezaa nae watoto4 ...pia mahali ametoa hapo ikoje?
 
Nini msimamo wa Kanisa Katoliki juu ya pombe?

[emoji115][emoji115][emoji115]
Unawashwa washwa eti?
Ni huu,furahi sasa
tapatalk_1536951879219.jpeg
 
Aiseee mi huona Hilo Jambo Kama kuupa uzinzi nafasi.UNAZINIII WEEE UKICHOKA ETI MNABURUZANA KUBARIKI MATENDO YENU!!!!
Mnabariki baada ya kutubu dhambi. Mnaamua kuacha uzinzi na kufuata njia ya kitakatifu. Unaamini kuna kutubu?
 
Huyu mwanamke my big Shem..amezaa nae watoto4 ...pia mahali ametoa hapo ikoje?
Alikuwa kwenye ndoa ya kimila. Sasa kaamua amrudie Mungu. Anafanya toba then anaihalalisha Kikristu kwa kupata baraka za Mungu.

Mimi na Sky Eclat tulibariki yetu mwaka jana. Hivi sasa tukifanya tendo la ndoa malaika mbinguni hawaoni aibu kutupigia makofi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom