emanuellyimo
Member
- Aug 14, 2015
- 29
- 50
Ndoa ni makubaliano ya Watu Wawili wenye Jinsia mbili tofauti
Kitendo cha hawa Watu kukubaliana na Wazazi wa upande wa Mwanamke kuikubali Posa hapo Ndoa tayari
Uko Kanisani na Misikitini ni mbwembwe tu za Kidunia