luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,918
Ni Kweli hko uchagani Jumba langu nimeweka mwangalizi WA kisukuma analitunza yupo vizuri sana Ana enjoy greenish environmentUmembiwa sina bustani baba. Ndiyo tatizo lako rafiki yangu huwa unakurupuka sana. Hata hivyo unavyo huko uchaggani lakini auishi huko. Unasubiri ufe ukazikwe huko. Si ajabu muda huu uko Lindi au Simiyu
Sio Lindi au simiyu tu Hadi Eindhoven,Paris, Cologne, Melbourne nishafika ndio harakati za maisha sio kuzaliwa itilima,kusoma itilima,kufanya harakati itilima,kufia itilima na kuzikwa itilima[emoji3][emoji3] hayo ni maisha au gereza ?[emoji3][emoji3][emoji3]