Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,707
- 11,217
HatariNipo serious. Watu wa siku hizi wana lishe nzuri na wala hawateseki juani. Hawazeeki mapema
HatariNipo serious. Watu wa siku hizi wana lishe nzuri na wala hawateseki juani. Hawazeeki mapema
Kila m2 ana kaumbwa kwa udongo wake!!! kama wewe udongo wako umetolewa kando ya mto utai kuzeeka manke ni teketeke!!!! kama udongo wako ni mfinyanzi utachelewa kidogo kuzeeka,lakini kama udongo wako umetolewa kwenye kichuguu kama MIMI au PUTIN!! hauzeeki kamwe!!Nilipata muda wa kwenda kutembea katika moja ya shule nilizosoma ambapo ni takriban miaka 9 sasa toka niondoke hapo.
Kuna watu nimewakuta hapo ambao niliwaacha walinishangaza sana, wamebadilika miaka tu lakini kimuonekano wako vile vile kama nilivyowaacha miaka 9 nyuma na kuna wengine wamezeeka na mvi kibao.
Nilipata shauku ya kutaka kujua siri iliyopo ila muda haukuwa rafiki kwangu hivyo nimeona sio mbaya kuuliza kwenu wakuu sababu ni nini, ni vitu vya kurithi ama kuna namna mtu anaweza ishi ikamfanya awe hivyo?
Acheni kuwadanganya watu. Mtu asile wanga ale nini nchi hii ? Hizo mboga za majani unazoshobokea ni kemikali tupu ! Ule wanga, usile kufa utakufa tu.Acha Kula vyakula vya wanga Kwa wingi, kula sana mboga za majani na matunda huku ukipiga na mazoezi mepesimepesi, sure hutazeeka.
🤔Viazi, mahindi na unga wake, wali, mihogo n.k
Mkuu usikubali kujenga nyumba bila kuacha eneo Kwa ajili ya organic garden,wenzako baadhi ya mboga na matunda tuliacha kununua.Acheni kuwadanganya watu. Mtu asile wanga ale nini nchi hii ? Hizo mboga za majani unazoshobokea ni kemikali tupu ! Ule wanga, usile kufa utakufa tu.
Vp na bakora bado anatembeza?Kuna huyo babu toka miaka ya 1998 nipo katoto yuko vile vile mpaka leo, sasa mama yangu ambae ana miaka 50+ anakwambia huyo babu yupo hivyo hivyo toka wao bado wadogo. Mpaka leo hajabadilika chochote na anatembea vizuri tuu kweli Mungu kweli wa ajabu na kambariki sana.
Ukiamua kula kemikali ni ww na uzembe wako,Acheni kuwadanganya watu. Mtu asile wanga ale nini nchi hii ? Hizo mboga za majani unazoshobokea ni kemikali tupu ! Ule wanga, usile kufa utakufa tu.
Kwa hilo sijui mkuu, ila toka miaka hiyo sijawahi kujua kama ana mke wala mtoto huwa tunamwona yeye tuu. Sijui story of his life ila i hope ana familia yake.Vp na bakora bado anatembeza?
Sawa uko sahihi lakini ni watu wangapi wenye uwezo huo ?Mkuu usikubali kujenga nyumba bila kuacha eneo Kwa ajili ya organic garden,wenzako mboga na matunda tuliacha kununua.
Je, hilo eneo lako la bustani linaweza stawisha matunda yote ? Maana matunda huenda kwa msimu kama mnyororo, kuna msimu wa maembe, msimu wa machungwa, msimu wa nanasi, msimu wa tikitimaji. Je, matunda yote unayo kwenye bustani yako ?Mkuu usikubali kujenga nyumba bila kuacha eneo Kwa ajili ya organic garden,wenzako mboga na matunda tuliacha kununua.
Bustani yangu Ina mboga karibia 70%ya mboga zinazopatikana sokoni,Nna miti ya maembe,miparachichi na mipapai,na migomba,Matunda mengine ikitokea nayahitaji basi nayanunua!mfano mapasheni,matunda damu Huwa nanunua.Je, hilo eneo lako la bustani linaweza stawisha matunda yote ? Maana matunda huenda kwa msimu kama mnyororo, kuna msimu wa maembe, msimu wa machungwa, msimu wa nanasi, msimu wa tikitimaji. Je, matunda yote unayo kwenye bustani yako ?
Nimekataa hilo wazo lako.Ni mtu hadi mtu tu.Watu warefu kwa kuzeeka haraka huwa hawajambo. Nadhani huu Uzi Ni maalum kwa watu wafupi.
[emoji3][emoji3]Jana nlipanda bodaboda, nikamwamkia boda,, akaanza kulalama ye bado mdogo anamiaka 32,
Nikamshangaa sana, muonekano wake anaonekana yuko 40+
Akanisimulia kwamba alipata stroke,, nikampa pole,, leo sijamwamkia nimempa habar ya asubuh chief,, kafurai sana [emoji23]
Anavaa na kofia mda wote, nahisi ana mvi pia,,
Panda Bustani kwa sámadi,njoo uchagani tukufundishe[emoji3] au tembelea makazi yoyote ya mchaga popote kama utakosa BustaniAcheni kuwadanganya watu. Mtu asile wanga ale nini nchi hii ? Hizo mboga za majani unazoshobokea ni kemikali tupu ! Ule wanga, usile kufa utakufa tu.
Umembiwa sina bustani baba. Ndiyo tatizo lako rafiki yangu huwa unakurupuka sana. Hata hivyo unavyo huko uchaggani lakini auishi huko. Unasubiri ufe ukazikwe huko. Si ajabu muda huu uko Lindi au SimiyuPanda Bustani kwa sámadi,njoo uchagani tukufundishe[emoji3] au tembelea makazi yoyote ya mchaga popote kama utakosa Bustani