Nini siri ya baadhi ya watu kutozeeka mapema?

nkanziga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
700
Reaction score
1,116
Nilipata muda wa kwenda kutembea katika moja ya shule nilizosoma ambapo ni takriban miaka 9 sasa toka niondoke hapo.

Kuna watu nimewakuta hapo ambao niliwaacha walinishangaza sana, wamebadilika miaka tu lakini kimuonekano wako vile vile kama nilivyowaacha miaka 9 nyuma na kuna wengine wamezeeka na mvi kibao.

Nilipata shauku ya kutaka kujua siri iliyopo ila muda haukuwa rafiki kwangu hivyo nimeona sio mbaya kuuliza kwenu wakuu sababu ni nini, ni vitu vya kurithi ama kuna namna mtu anaweza ishi ikamfanya awe hivyo?
 
Nilipata muda wa kwenda kutembea katika moja ya shule nilizosoma ambapo ni takriban miaka 9 sasa toka niondoke hapo.

Kuna watu nimewakuta hapo ambao niliwaacha walinishangaza sana, wamebadilika miaka tu lakini kimuonekano wako vile vile kama nilivowaacha miaka 9 nyuma na kuna wengine wamezeeka na mvi kibao, nilipata shauku ya kutaka kujua siri iliyopo ila muda haukua rafiki kwangu hivyo nimeona sio mbaya kuuliza kwenu wakuu sababu ni nini, ni vitu vya kurithi ama kuna namna mtu anaweza ishi ikamfanya awe hivyo?
Childhood mates (Wahenga) mnakwama wapi?

Wapisheni Watoto wa 2000's nao wainjoy ujana.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tumuulize mwamba huyu hapa, ametimiza miaka 50 sasa.
MV5BMTQ3NzQ2ODYzMl5BMl5BanBnXkFtZTgwMDA4OTAzMTE%40._V1_.jpg
 
Nilipata muda wa kwenda kutembea katika moja ya shule nilizosoma ambapo ni takriban miaka 9 sasa toka niondoke hapo.

Kuna watu nimewakuta hapo ambao niliwaacha walinishangaza sana, wamebadilika miaka tu lakini kimuonekano wako vile vile kama nilivowaacha miaka 9 nyuma na kuna wengine wamezeeka na mvi kibao, nilipata shauku ya kutaka kujua siri iliyopo ila muda haukua rafiki kwangu hivyo nimeona sio mbaya kuuliza kwenu wakuu sababu ni nini, ni vitu vya kurithi ama kuna namna mtu anaweza ishi ikamfanya awe hivyo?
Nje kidogo ya mada,

naonaga walimu hawazeeki haraka au ni mimi tu😂
 
Back
Top Bottom