Nini siri ya baadhi ya watu kutozeeka mapema?

Nini siri ya baadhi ya watu kutozeeka mapema?

Alafu ukutane na kiporo cha wali maharage asubuhi na chai ya moto weee kama ni hivyo acha nizeeke tu kwanza mimi wali maharage ndio umenikuza eti nije niukane ukubwani hapana
Hahaha alogundua combination ya wali maharage ana pepo yake
 
Acha Kula vyakula vya wanga Kwa wingi,Kula sana mboga za majani na matunda huku ukipiga na mazoezi mepesimepesi,sure hutazeeka.
Hao walimu vijijini ndo mabingwa wa kula wanga ila hawazeeki
 
Kuna huyo babu toka miaka ya 1998 nipo katoto yuko vile vile mpaka leo, sasa mama yangu ambae ana miaka 50+ anakwambia huyo babu yupo hivyo hivyo toka wao bado wadogo. Mpaka leo hajabadilika chochote na anatembea vizuri tuu kweli Mungu kweli wa ajabu na kambariki sana.

IMG_2444.jpg

Huyo babu kanikumbusha huyu msanii toka nimfaham yupo hivi hivi [emoji23]
 
Kula vizuri
Fanya mazoezi (sio lazima gym)
Lala vizuri
Usifatilie maisha ya watu
Peace of mind muhimu pia
Ukiweza Funga (fasting) kula mlo mmoja tu jioni (kuanzia asubuh ni maji,coffee/juice yakutengeneza mwenyewe au chai au tunda,,, jion kabla ya saa1 msosi ndio imetoka) haya mavyakula ndio yanafanya watu wazeeke au kupata visukari nk,,,Thanks me later!!
Umeanza na kula vizuri mwishoni unasema funga.contradiction
 
Punyeto
Visungura
Vyakula vya mafuta mengi
Mtindo mbovu wa maisha.
Msongo wa mawazo.
Matumizi ya bhange sigara mirungi ugoro

Hivi vitu vitafanya uchoke haraka sana
 
Nilipata muda wa kwenda kutembea katika moja ya shule nilizosoma ambapo ni takriban miaka 9 sasa toka niondoke hapo.

Kuna watu nimewakuta hapo ambao niliwaacha walinishangaza sana, wamebadilika miaka tu lakini kimuonekano wako vile vile kama nilivowaacha miaka 9 nyuma na kuna wengine wamezeeka na mvi kibao, nilipata shauku ya kutaka kujua siri iliyopo ila muda haukua rafiki kwangu hivyo nimeona sio mbaya kuuliza kwenu wakuu sababu ni nini, ni vitu vya kurithi ama kuna namna mtu anaweza ishi ikamfanya awe hivyo?
Mfano
 
Ulishawahi muuliza siri ya mafanikio?
Hapana sijawahi kumuuliza, ila nadhani kuna aina ya maisha inafanya watu wasizeeke ukiangalia kundi mojawapo walimu
 
Back
Top Bottom