Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,618
- 20,561
Siyo kweli. Watu wa siku hizi hawazewki mapema.Maumbile ya MTU na MTU
Ila ukweli Kwa sasa watoto wanazeeka mapema SANA.
Siyo kweli. Watu wa siku hizi hawazewki mapema.Maumbile ya MTU na MTU
Ila ukweli Kwa sasa watoto wanazeeka mapema SANA.
MazoeziNilipata muda wa kwenda kutembea katika moja ya shule nilizosoma ambapo ni takriban miaka 9 sasa toka niondoke hapo.
Kuna watu nimewakuta hapo ambao niliwaacha walinishangaza sana, wamebadilika miaka tu lakini kimuonekano wako vile vile kama nilivowaacha miaka 9 nyuma na kuna wengine wamezeeka na mvi kibao, nilipata shauku ya kutaka kujua siri iliyopo ila muda haukua rafiki kwangu hivyo nimeona sio mbaya kuuliza kwenu wakuu sababu ni nini, ni vitu vya kurithi ama kuna namna mtu anaweza ishi ikamfanya awe hivyo?
Ni sahihi, nature ya kazi Yao inawapa mda wa interactions na ku smile na Watotonje kidogo ya mada,
naonaga walimu hawazeeki haraka au ni mimi tu😂
Huna content ulishapoteana.Watu wafupi hawazeeki haraka kulinganisha na warefuKimo??
Bwana Choice nasikitika hatukutani tena kwenye nyuzi zetu pendwa za battles dah
Hilo ndio jibu kabisaaa hujapepesa mdomo.Acha Kula vyakula vya wanga Kwa wingi,Kula sana mboga za majani na matunda huku ukipiga na mazoezi mepesimepesi,sure hutazeeka.
Mboga mboga na zisiive sana. Kama unapitisha kwenye maji ya moto 100°C dakika na kuzitoa.Matunda nitaanza nayo ila mazoez sasa woi
Mkuu kuwa seriousSiyo kweli. Watu wa siku hizi hawazewki mapema.
SwadaktaaaKuku wa kienyeji unamaanisha
Kama hutaki kuzeeka kufa ukiwa kijana
And the rest is futile
PeregeKwenye sea foods hapa sisi wa mikoani hata bahari hatuijui [emoji3]
Juinsi ambassadors hapo kwenye 4 tumeokokaKwa ufahamu wangu mdogo
Cha kwanza nivyakula
Pili mazoezi silazima kwenda beba jim unaweza hata tembea dk 30 Kwa siku,
Tatu stress control….hapa ndio wengi hufeli they ask themselves why me…always ukipata changamoto jiulize nifanyeje natatuaje.
Nne ulevi wakupindukia bilalishe bora
Nipo serious. Watu wa siku hizi wana lishe nzuri na wala hawateseki juani. Hawazeeki mapema.Mkuu kuwa serious