Rate ya watu kuzeeka haraka ni mijini kuliko vijijini wakati lishe uliyotaja iko mijin zaidi kulik vijijinAcha Kula vyakula vya wanga Kwa wingi,Kula sana mboga za majani na matunda huku ukipiga na mazoezi mepesimepesi,sure hutazeeka.
Kwenye kufunga sasa hapoKula vizuri
Fanya mazoezi (sio lazima gym)
Lala vizuri
Usifatilie maisha ya watu
Peace of mind muhimu pia
Ukiweza Funga (fasting) kula mlo mmoja tu jioni (kuanzia asubuh ni maji,coffee/juice yakutengeneza mwenyewe au chai au tunda,,, jion kabla ya saa1 msosi ndio imetoka) haya mavyakula ndio yanafanya watu wazeeke au kupata visukari nk,,,Thanks me later!!
[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madeni
Wali na Ugali,hasahasa unga wa Sembe na maandazi ni hatari Kwa ngozi yako!!Wanga kwa maana ya vyakula kama vipi.. wali?
Minamaanisha namna ya kupata pesa, kuna anaepata kirahisi sana na mwingine kupata hata pesa ya kula ni shida. Labda nikudokezee kidogo 'wanaojua kucheza na ulimwengu wa roho wanapata pesa kwa urahisi" kwao pesa ni kama makaratasi tu!! Hawazeeki mapema.
GeneticsNilipata muda wa kwenda kutembea katika moja ya shule nilizosoma ambapo ni takriban miaka 9 sasa toka niondoke hapo.
Kuna watu nimewakuta hapo ambao niliwaacha walinishangaza sana, wamebadilika miaka tu lakini kimuonekano wako vile vile kama nilivowaacha miaka 9 nyuma na kuna wengine wamezeeka na mvi kibao, nilipata shauku ya kutaka kujua siri iliyopo ila muda haukua rafiki kwangu hivyo nimeona sio mbaya kuuliza kwenu wakuu sababu ni nini, ni vitu vya kurithi ama kuna namna mtu anaweza ishi ikamfanya awe hivyo?
Kula vizuri
Fanya mazoezi (sio lazima gym)
Lala vizuri
Usifatilie maisha ya watu
Peace of mind muhimu pia
Ukiweza Funga (fasting) kula mlo mmoja tu jioni (kuanzia asubuh ni maji,coffee/juice yakutengeneza mwenyewe au chai au tunda,,, jion kabla ya saa1 msosi ndio imetoka) haya mavyakula ndio yanafanya watu wazeeke au kupata visukari nk,,,Thanks me later!!
Maumbile ya mtu kuna wafupi walefu wembamba matipwa tipwa kutozeeka mapema ni udogo ulioumbiNilipata muda wa kwenda kutembea katika moja ya shule nilizosoma ambapo ni takriban miaka 9 sasa toka niondoke hapo.
Kuna watu nimewakuta hapo ambao niliwaacha walinishangaza sana, wamebadilika miaka tu lakini kimuonekano wako vile vile kama nilivowaacha miaka 9 nyuma na kuna wengine wamezeeka na mvi kibao, nilipata shauku ya kutaka kujua siri iliyopo ila muda haukua rafiki kwangu hivyo nimeona sio mbaya kuuliza kwenu wakuu sababu ni nini, ni vitu vya kurithi ama kuna namna mtu anaweza ishi ikamfanya awe hivyo?
Uzee nini?Baba/Mama tafuta ela uzee utausikia kwenye redio mbao, Muangalie Mama nasibu chombo mpya usipoangalia vizuri unaweza sema kigoli umnyapie.
Ukila mboga mboga na matunda miaka inasimama aiongezeki?Acha Kula vyakula vya wanga Kwa wingi,Kula sana mboga za majani na matunda huku ukipiga na mazoezi mepesimepesi,sure hutazeeka.
Mi ni mmojawapo.Nilipata muda wa kwenda kutembea katika moja ya shule nilizosoma ambapo ni takriban miaka 9 sasa toka niondoke hapo.
Kuna watu nimewakuta hapo ambao niliwaacha walinishangaza sana, wamebadilika miaka tu lakini kimuonekano wako vile vile kama nilivowaacha miaka 9 nyuma na kuna wengine wamezeeka na mvi kibao, nilipata shauku ya kutaka kujua siri iliyopo ila muda haukua rafiki kwangu hivyo nimeona sio mbaya kuuliza kwenu wakuu sababu ni nini, ni vitu vya kurithi ama kuna namna mtu anaweza ishi ikamfanya awe hivyo?
mtu unafungua kinywa na dabo kik huli vizuri hulali vizuri kwanini usizeeke kabla ya muda?Maumbile ya MTU na MTU
Ila ukweli Kwa sasa watoto wanazeeka mapema SANA.