Nini sababu ya Nape kutaka suluhu na CHADEMA juu ya DOWANS?

Nape anaongea kama nani? nilidhani hili suala la DOWANS is beyond CCM na CHADEMA bali ni issue ya nchi nzima na ni wakati sasa wa Amiri Jeshi mkuu wa Kaya atoe msimamo wa Serikali. Where is JK? Where is Ngeleja? where is the cabinet?
 
Tanzania ni yetu wote kuna ubaya gani Nape kupendekeza kukutana na chadema kwenye issue ambayo ina maslahi kwa Watanzania
 
Damu za wana Igunga zimeanza kuwalilia kina Nape Nchemba na Wassira.

Hivi mara tumeshasahau kwamba Nape hakwenda Igunga?!!!mbona tunamchukia huyu jamaa kupitiliza wanajamii...kwanini?mi naona kama kweli kaomba hiyo kitu ni jambo zuri kwani kila mtu analia na dowans hapa daily,tuache siasa za maji taka hata kwenye national interest wadau!ndio maana unaona somtimez kwa wenzetu republican anaweza kumuunga mkono democrat kama kuna maslahi ya taifa...
 
Kwa mtazamo wangu Nape hachukiwi hata kidogo, ila watu wanachukia kauli, matusi na mtazamo wake. Jaribu kutambua tuongeleayo hapa huwa hatumchukii mtu ila tunachukia matendo mabaya, kauli mbaya , itikadi tusizozipenda. Mtu anaweza kubadilika na kwa maana hiyo usichukulie kitendo au lugha yake kuwa kigezo cha kumchukia, na kumbuka kimchafuacho mtu ni kile kimtokacho na si kimwingiacho kwa hoja ya kifasafa yakinifu.
 
OK nimekuelewa lakini this time anataka waote kama taifa tusimame imara bila itikadi wala hizo chuki zitokanazo na kauli,matusi na mitazamo yake yeye kwa kile anachokiamini,anataka tupinge kwa nguvu moja malipo ya DOWANS,Tusimamie kwenye rai yake hiyo,wewe unasemanje kuhusiana na rai yake hiyo??
 
Hatima ya watanzania haitaamuliwa na watanzania wachache kama nape na wajanja wachache. Tusikubali kuamuliwa wala kushawishiwa kiwalipa DOWANS kwa sababu ya upuuzi wa watu wachache mafisadi.
 
Huko CHADEMA Nape-ccm atakutana na nani wakati hakitambui CDM kama chama cha kisiasa na wala hawajui Mbowe na Dr. Slaa? Wanaomwita vuvuzela hawakosei kabisa.
 
Tanzania ni yetu wote kuna ubaya gani Nape kupendekeza kukutana na chadema kwenye issue ambayo ina maslahi kwa Watanzania

Uliwahi ona wapi au kusikia wapi CCM wanasimamia maslahi ya Taifa?
 
OK nimekuelewa lakini this time anataka waote kama taifa tusimame imara bila itikadi wala hizo chuki zitokanazo na kauli,matusi na mitazamo yake yeye kwa kile anachokiamini,anataka tupinge kwa nguvu moja malipo ya DOWANS,Tusimamie kwenye rai yake hiyo,wewe unasemanje kuhusiana na rai yake hiyo??

Sasa hapo umeshasema rai yake si ni ya kwake,mwacheni na rai yake.
 
Huko CHADEMA Nape-ccm atakutana na nani wakati hakitambui CDM kama chama cha kisiasa na wala hawajui Mbowe na Dr. Slaa? Wanaomwita vuvuzela hawakosei kabisa.

Alishasema Tanzania ni mali ya ccm,Kama ni maamuzi si wafanye wenyewe ccm maana walishajimilikisha Tanzania kuwa Mali yao?
 
Huko CHADEMA Nape-ccm atakutana na nani wakati hakitambui CDM kama chama cha kisiasa na wala hawajui Mbowe na Dr. Slaa? Wanaomwita vuvuzela hawakosei kabisa.

Sometimes wazee tuwe open minded kidogo wakati wa mijadala kama hii!ccm na serikali yake ingekua haikitambui chadema kama chama cha siasa isingekuwa inapoteza mamilioni ya tax payer money kuwalipa ruzuku pamoja na posho za wabunge na mshahara na malupulupu ya kiongozi wa upinzani bungeni!!!!leteni hoja nzio kwanini tunampinga nape hata kwenye suala la msingi kama hili la dowans?mi nadhani katika hili ili kuwatisha mafisadi wajue watz hatuna utani katika hili tuungane wote kwa pamoja bila kujali itikadi zetu,wataogopa tu,wadau hapa ni issue ya tax payer money kutumika kulipia service ambayo haijawa delivered not politics!
 
Sasa hapo umeshasema rai yake si ni ya kwake,mwacheni na rai yake.

No kamanda unakosea,DOWANS is a disaster si suala la kumuachia NAPE peke yake,slaa peke yake au lipumba peke yake,this should national...kwa kuwa ni pesa zetu walipa kodi bila kujali unatoka cham ama dini gani,kwanini tulipie huduma ambayo hatujaitumia kwa ajili tu ya ujanja wa wachache huko ccm na serikalini?!!no way bwana hiihaikubaliki tusimame imara kama wabongo kuikataa hii..tena yangefanyika maandamano ya kuwahusisha watu wa vyama vyote hata ccm sio wote wanaofagilia ufisadi na mafisadi sema bahati mbaya tu mzee mkapa alipoondoka madarakani mafisadi wakaweka mtu wao ambae baada ya kuona anapotea sasa anajaribu kujitoa lakini too late.
 
OK nimekuelewa lakini this time anataka waote kama taifa tusimame imara bila itikadi wala hizo chuki zitokanazo na kauli,matusi na mitazamo yake yeye kwa kile anachokiamini,anataka tupinge kwa nguvu moja malipo ya DOWANS,Tusimamie kwenye rai yake hiyo,wewe unasemanje kuhusiana na rai yake hiyo??
dont be quick to trust politicians!
 
Wakafie mbele huko hao magamba!! Wamelikoroga wenyewe na sasa walinywe wenyewe.Naungana na wakuu wengine kuuliza kwamba, wakati wanapanga hiyo mikataba yao feki je! waliwaita Chadema kuja kushuhudi hiyo mikataba?Pumbavu zao kabisa wakafe mbele na kama ni mtego wajue kuwa tumeshautegua siku nyingi CDM hatudanganyiki kabisaaa.
 
Uliwahi ona wapi au kusikia wapi CCM wanasimamia maslahi ya Taifa?
Hapa hakuna maslahi ya Taifa wala nini. Anachotaka kukifanya Nape, ni kuwakomoa Wabaya wake kisiasa ambao tunawajua ndio waliopo nyuma ya Dowans wasilipwe. Kwa ubavu wake mwenyewe keshaona hawezi sasa anataka CDM wamsaidie kwenye vita yake na Adui zake. Anachokifanya Nape ni sawa na kutaka kuutumia mkono wa mtu mwingine ili utolee chuma chuma kinachoungua toka kwenye jiko la moto. Huu urafiki wa ghafla wa Nape kwa CDM una walakini.
 
Wakafie mbele huko hao magamba!! Wamelikoroga wenyewe na sasa walinywe wenyewe.Naungana na wakuu wengine kuuliza kwamba, wakati wanapanga hiyo mikataba yao feki je! waliwaita Chadema kuja kushuhudi hiyo mikataba?Pumbavu zao kabisa wakafe mbele na kama ni mtego wajue kuwa tumeshautegua siku nyingi CDM hatudanganyiki kabisaaa.

Walilolokoroga tutalinywa sisi tax payers mzee,ccm hawana shamba wala kiwanda na wala hawana bussiness yeyote inayoeleweka itakayoiwezesha serikali yake ipate pesa za kuwalipa dowans!we unadhani kwa nini tunapinga?do u think tunaipenda sana ccm?no tunapinga kwa kuwa tunaolipa ni sisi,as i said tuwe open minded kidogo atleast kwenye hili,tuungane kukataa wote kwa pamoja.
 
Hapa hakuna maslahi ya Taifa wala nini. Anachotaka kukifanya Nape, ni kuwakomoa Wabaya wake kisiasa ambao tunawajua ndio waliopo nyuma ya Dowans wasilipwe. Kwa ubavu wake mwenyewe keshaona hawezi sasa anataka CDM wamsaidie kwenye vita yake na Adui zake. Anachokifanya Nape ni sawa na kutaka kuutumia mkono wa mtu mwingine ili utolee chuma chuma kinachoungua toka kwenye jiko la moto. Huu urafiki wa ghafla wa Nape kwa CDM una walakini.

Upotoshaji jazz band...ok tukubaliane na wewe kwamba anataka kuwakomoa hao wabaya wake ambao mimi naamini pia ni wabaya wetu pia mimi na wewe kwa kuwa wamehujumu na wanaendelea kuhujumu uchumi wa bongo,kwanini tusimuunge mkono japo kwa malengo tofauti,yeye kawalenga wabaya wake wasipate huo mkwanja na sisi tunalenga kunusuru pesa zetu za kodi zisitumiwe vibya and to make dowans thing don't become a never ending story,tuanzie hapa hapa kwenye rai ya nape ku draw a line and say no mo out of control spending in this country...!nawahakikishia tukisimama pamoja cc vijana wa vyama vyote na hata tusio na vyama wataogopa hawa watu,lakini tukiendelee kuweka ushabiki tutachezewa kila wakati kwani watakua wanajua hata wafanye nini haitotokea wakapingwa na watu wote kwa nguvu moja,nyie mnadhani kule egypt,tunisia,libya na sasa syria wale wanaosambaa barabarani kuipinga serikali wote wanakubaliana kila kitu?na wao wanakuwa na different opinion sometimes lakini kwa kuwa kuna jambo kwa maslahi yao wote tofauti zao wanaweka kando na kusimama pamoja thats why wanapata achievements!amkeni wabongo wenzangu.
 
Back
Top Bottom