Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Last edited by a moderator:
Ikipitia kwa sister wangu Heaven Sent itakua real zaidi... hapa sikawii kupewa nmber za tairi
Hahaha omba tu nipewe, ntaifikisha kwako
mmh huyo hakawii kuanza maombi kwanza na nasaa kabla hajakupa... huo muda ndo tatizo sasaHahaha kwa hiyo unaogopa kumuomba atoto
Hahaha usijalimpaka hapa najua ushaipata... fanya makeke tu na mi niipate
mmh huyo hakawii kuanza maombi kwanza na nasaa kabla hajakupa... huo muda ndo tatizo sasa
Si nashangaa Kila nikikuomba unanipotezea. Niletee tu mapozi, Mungu hapendi
Aaah nilishaaahau kama ulinipa. Haya nakudipu sasa hiviHivi ili niliyokupa uliichukua ili ujaze phone book?? Mbona hata kubip haujawahi? Haya nirudishie namba yangu kama hauna matumizi nayo.
mtu mnaonana karibu kila siku tena hata ni workmate sasa uombe namba ya nini...?
kama unataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi ni bora uanze kwa kukutana naye face to face, mwambie then ndio mambo ya namba yafuate baadaye...
Hiyo ndo yenyewe kwa mtu unayejitambua na mwenye dhamira ya kweli.... Hata mimi nilifanya hivyo. Next few days it was ok... The bush on fire!!!!!