Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
it is fursa day, nakupa mpendwa :A S shade:
Indeed. Nashangaa wapendwa hawaitumii.
it is fursa day, nakupa mpendwa :A S shade:
Si bora uwe rejected na mtu mmoja au wawili
umewahi fikiria pains za yeyote atakae kuwa rejected October 25?
some rejection huwezi recover forever.....utakufa unasononeka...
Huu uzi ndio wa kupatia number sasa. Hata ukitoswa unazuga ulikuwa unatania.
Kwa mfano;BADILI TABIA hebu naomba number yako mpendwa. Kuna katabia ninako na sipendezwi nako. Nahitaji msaada wako.
Hahahahaha
Sijui nikurejecti hihiiiii
Hapo ndo The Boss aliposema kuhuru kuwa rejected.
Sawa mpendwa ngoja nipotee huku kwa muda, nihamie pm kusubiri, usinichomeshe mahindi tafadhali
Na mimi niwaulize wanaume kwanin huwa mnapendaga kuomba hizo namba ovyo wakat mnaonana mara kwa mara? Tuanze kwa nyinyi waombaji kwanza.
atoto ebu ntupie namba PM wanafikiri mm nashindwa kukuomba namba eti.hawa vio
Teh ndo ushakua rejected sasa
Sawa mpendwa..Ila tutakuwa tunawasiliana usiku wtt wakilala
Shaka ondoa tunakua tunajiunga vifurushi vya "wajanja night"
Konda wa bodaboda,mtandao wa mzee mwalubandu maana yake namba ya tigo,
Niombe tena sasa uone kama sijakupa, ila uniombee chumbani PM.
Hapahapa nataka