Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Mi siogopi kuomba wala
Naomba uniombe basi,
Mi siogopi kuomba wala
Naomba uniombe basi,
Naomba uniombe pia
Naomba uniombe pia
well said, not only painful but also terrifying...
Overcoming one's fears is the best step one can ever do
Mie siku zote najua namba yangu nishakupa
kumbe bado?
Yap bora kujaribu na kuwa rejected kuliko kutojaribu
namba yako hujanipa ujue?
hahhahahhaaa...shida umeomba nyingi hadi umenitisha
Ukinipa yako zingine nazifuta
futa na yangu
Heaven Sent njoo uchukue namba huku unipasie na mimi...
Hahaaaa! Kumbe na wewe unaogopa kuomba namba? We omba tu yaani nakupa asap.
Heaven Sent hivi una namba yangu?