Nini sababu ya kuogopana kati ya Ke/Me?

Nini sababu ya kuogopana kati ya Ke/Me?

mtu mnaonana karibu kila siku tena hata ni workmate sasa uombe namba ya nini...?
kama unataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi ni bora uanze kwa kukutana naye face to face, mwambie then ndio mambo ya namba yafuate baadaye...

Unajua kinachotatiza sio kumwambia, bali hilo la kukutana naye tu, ndio maana hata wanaopata namba huwa wanaanzia hapo kuwa rejected, maana utasikia niambie hapa hapa kwa simu, au mkiwa kazini atakuambia msogee umwambie tena haraka haraka, huku anajifanya kutaka kuongea na simu, aisee wewe kama sio MwanaSaikolojia na huna confidence lazima uwe rejected siku hiyo hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
miss chagga naomba namba yako maana kuna watu wanabisha kuwa eti siwezi kukuomba namba wala wewe huwezi kunipa, sasa tuwadhihirishie kuwa tunaweza, anza kunipa yako halafu na mimi nakupa yangu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mmoja mdada humuhumu,tulipeana namba hadi kufikia kukutana face to face,baadae akachange namba hadu leo simpati tenaaaaa,mara ya mwisho alisema anatumia namba yake ya mtandao wa mzee mwalubandu.
 
Ukitaka Kuanzisha Mahusiano Haina Maana mpaka Uombe namba.. Utaombaje namba Kwa mtu Unayekutana naye kila Siku? Mbona Mimi Yule nanihii Niliongea nae moja kwa moja?
 
Na mimi niwaulize wanaume kwanin huwa mnapendaga kuom<script id="gpt-impl-0.8049914631084499" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_73.js"></script>ba hizo namba ovyo wakat mnaonana mara kwa mara? Tuanze kwa nyinyi waombaji kwanza.
hatuogopi,kwa mfano mimi naanza kuomba namba yako,tuwasiliane halafu tunaonana,
tupia namba yako dada pm,nakusubiri kwa hamu sana.
 
Tunachukiana kwa sababu hatujajuana, hatujuani kwa sababu tunatengana, tunatengana kwa sababu tunaogopana.
 
Back
Top Bottom