Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

unachangia kama umekatwa kichwa
Hiyo chenja inaimbwa..

Siku ya kwanza alisemajeee mamaa naumia
Siku ya pili akasemajee linii tutarudiaa
Siku ya tatuu akasemajee mdogo mdogo inaingiaa
Siku ya nne akasemajee linii tutarudiaa
Naskia Raha utamuu jamani Raha utamuu

Sasa hapo tusi liko wapi? Hiyo wanaimba kutokana ni hali ya mazoezi ukiwa kozi ni lazma siku ya kwanza uumie lakin siku zinavyoenda unafurahia japo Kuna maumivu utayapata lakin kwako itakua kama sehem ya raha tu maana umeshafungua moyo hivyo hakuna tusi labda tafrisi yako binafsi
 
Dah sitaki kukumbuka ila kuna moja hapo juu nmejikuta naiimba mpak mwisho
 
Upumbavu tu tena usikute ni bongo pekee tuna huu ushenzi. Halafu acha jeshini nenda kwa watu wa kufanya kazi za kutegemea sana nguvu za mwili utakuta nao ndio tabia yao wakiwa saiti nataja mifano hapa

TANESCO (wale wa nguzo)
WAASHI
PLUMBERS (wale wa mitaani)
MACHIMBO
nk
 
Wapemba nao hawapo nyuma kwenye majahazi huko, upepo ukikata ghafla baharini na kuwalazimu kupiga makasia..
Sikiliza hii...Seif weee tukamsake ngogo maji kujaaa,twende pwaniii tukamsake ngogo maji kujaaa,
Kibwagizo:wanambia nina kaboro kadogo hiyo mimba kamtia naniii!?...wanambia nina kaboro kadogo hiyo mimba kamtia naniii!?
 
Back
Top Bottom