exceptional lady
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 332
- 248
Haaaalooooooooo umenikoshautanukia hatari yani kama malaika vile huwenda ikawa sababu ya kumuongezea mumeo ashki ya tendo la ndoa
hahahaha unajua sisi wanaume tusiotaka kuchepuka inatubidi tuwape wake zetu vile vitu tupendavyo tusije tamani nyumba ndogo bana......Haaaalooooooooo umenikosha
Na wewe umevutiwa eeeeAnayejua wanapouza quality oud... Kwa ajili ya nguo
Kuna vitezo vya kufukizia sasa sijui anavyo?Naona unataka kuimarisha idara zote
Aaaaa waapi...Yule nisha tupa kuleeeee staki kutiana nye ** mieeeeendo yule anayefika mapema kileleni au
Nataka niujaribu.Na wewe umevutiwa eeee
EebooohSasa mbona hutaki kukubali ombi langu
duh wewe hufai, ulimsaidiaje kwani?Aaaaa waapi...Yule nisha tupa kuleeeee staki kutiana nye ** mieeeee
Wanja waka ni hatariii! Hilo jicho limenata kama umekula kungu!Jamani natumai nyoote mu wazima wa afya...
Naomba Kwa wanaofahamu matumizi na faida za uddi Kwa mwanamke,kwani Mr.kaenda Zanzibar akaniambia anataka aniletee udii.nikashindwa kumuhoji maswali mengi kwani hakua sehemu nzuri...naomba munisaidie wanaojua haya mambo
Hahhhaaa acha tuu Nokia83 yan nataka niwe fuul hata mwanaume akiniacha atajutraaaaaa coz ni wanawake wachache wanapenda kuwa wabunifu